Search results

  1. Mercator

    VIWANJA,MASHAMBA NA NYUMBA ZINAUZWA CHANIKA

    Viwanja vinauzwa Chanika ukubwa futi 45 kwa 42 bei milioni moja na laki tano pia mashamba yapo bei kuanzia milioni kumi vilevile kuna nyumba zinauzwa kuna ya milioni kumi na sita,milioni kumi na nane,milioni ishirini kwa mawasiliano piga 0718239997
  2. Mercator

    Wazo la Utajiri Leta mtaji tutajirike

    Kama Heading inavyojieleza kuna biashara moja ambayo nimeiona ya kununua maeneo nakukata viwanja kwa mfano ekari moja ina uzwa milioni kumi na tano ukikata viwanja unapata viwanja 20 ambavyo ukiuza kila kimoja milioni moja na laki tano unapata milioni 30 Halafu hii biashara haina risk kwa...
  3. Mercator

    Tigopesa application ina ukweli wowote?

    Kama heading inavyojieleza, nimedownload application ya tigopesa kwenye playstore. Sasa mashaka yangu, je iko poa au ni majanga?
  4. Mercator

    Wadau naomba kujua kama hii ni kweli

    Waungwana leo katika pita pita zangu mitandaoni nikakutana ishu fulani katika website ya Kupatana. com ya kuingiziwa channel za dstv na beln sports katika receiver za startimes, azam, zuku sasa sijajua kama kuna ukweli wowote nimepiga hadi screenshot
  5. Mercator

    Viwanja bei chee

    Viwanja bei ya kutupa vipo Chanika nzasa bei milioni moja na laki tano Vipimo m20 kwa m20 Umeme haupo mbali vina barabara za mitaa kwa mawasiliano piga0718239997
Back
Top Bottom