Search results

  1. Amedeus Somi

    Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Sijawahi kuona Linchi Kama Hili Akili Hamna, Uhuru hamn doooh Haki ya Mungu Raia Tunaumia sana Ingefaa Kuhama Uraia ningefanya ivyo...Ukiskia kuminya uhuru bx ndio huku...Maafrika meusi ambao kustaaf kwao hadi wafariki Sumaka
  2. Amedeus Somi

    Natafuta kazi ya Utangazaji

    Shukran wa kwetu
  3. Amedeus Somi

    Natafuta kazi ya Utangazaji

    Hellow Wandugu! Poleni na Majukumu ya kutafuta tonge. Moja kwa moja niende kwenye kiini husika bila kupoteza wakati. Mimi ni Kijana Mtanzania Umri Miaka 25+ Nimehitimu Kozi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari Mwaka 2019, Ila ni kwa ngazi ya cheti. Nalijua fika agizo la Serikali kuhusu...
  4. Amedeus Somi

    Hujaijua vizuri Afrika!

    Mawazo ya vichwa vyao ni umate umate tu tuwaache maana kustaafu kwao hadi wafariki
  5. Amedeus Somi

    Msaada Wa Kazi ya Utangazaji

    Hellow wadau poleni na majukumu ya kutafuta tonge.. Langu ni moja tu nimekuja nalo hapa mimi ni mtangazaji wa vipindi vya michezo ila nipo kwenye ngazi ya cheti na kutokanana na ugumu wa maisha nilionao siwezi/Sina uwezo wa kuendelea kusoma Diploma kwa sasa. Nimemaliza Chuo mwaka 2018...
  6. Amedeus Somi

    TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

    Ni kweli ss* mpe mpe uyo umeongea point xna yaan[emoji109] [emoji109] [emoji109]
  7. Amedeus Somi

    TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

    Ni kweli kk uyu jamaa alkua ni atar sana sana alkua ana saut balaa na kuna lile song la Zuwena bwana wwe RIP Mkali wayze radio
  8. Amedeus Somi

    Tatizo la tumbo

    Miaka 24 mkuu
  9. Amedeus Somi

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Hello wadau poken kwa majukumu wana jamvi mm ni kijana ninaomba ushauri wenu mzuri wadau ni niashara gani ndogo naweza anzisha kwa mtaji mdgo ea laki 3 au 4 jaman wadau plse ahsanteni
  10. Amedeus Somi

    Nahitaji Faraja Moyo wangu Unateketea.

    Ni kwel kk umempa ushaur mzur xana
  11. Amedeus Somi

    Tatizo la tumbo

    Poleni na kazi wanajamvi mimi shida yangu ni kwamba naumwa sana tumbo kwnye kitovu linavuta kama manati jamani nisaidieni korodani moja imepanda toka muda sasa na sometime nyngne huwa inapandag na kushuka ila kikubwa tumbo linavuta ile mbaya na sinna ata hamu ya chakula nimetumia mizizi ya...
  12. Amedeus Somi

    Msaada

    Hello wadau nimwshindwa kudownload gbwhats app new version 2017 nifanyeje jaman naombeni link ya moja kwa moja au mwenye msaada mwingne plssss wadau shukrani
  13. Amedeus Somi

    Nafasi za kazi kwa wahitimu

    Certificate
  14. Amedeus Somi

    Nafasi za kazi kwa wahitimu

    Nimehitimu Computer Maintenance and Networking
  15. Amedeus Somi

    Nafasi za kazi kwa wahitimu

    Nipo moshi mkuu
  16. Amedeus Somi

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    We jamaa ni noma acha kabisa cna mbavu
  17. Amedeus Somi

    Ukweli mchungu: Tanzania hakuna ma IT..kuna mafundi mchundo tuu

    Ww dogo naon umekurupuka ww kwanz jiangalie mm mwenywe IT angalia nisikudukuli kila kitu chako kuanzia humu jf.usitake bifu na IT tz nenda pengne Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom