Search results

  1. yatima

    Aibu airport

    Umesema kweli kabisa. Ila usipate stress sana ndugu yangu ........................... Hivi umeshatafakari jinsi nchi yetu inavyoendeshwa katika sekta mbali mbali??? Hii inaonyesha kuwa ACCOUNTABILITY katika idara nyingi au vitengo vingi hapa nchini ni almost 0 ................. CHANGE is...
  2. yatima

    Kafanya kosa gani??

    kalipiwa ada hataki kwenda shule .............. anakaa kijiweni kucheza bao/karata!!
  3. yatima

    Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Hapo kwenye red ............. AiSHIE HAPO HAPO - KUPIGA WIMBO JUKWAANI .............. NEXT TIME ISIWE KUMPELEKEA PARCEL ................. CHONDE CHONDE .............. Dr. Slaa hataki parcels za Magamba kwa sababu.....................................................[anayeweza amalizie] just...
  4. yatima

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

    Kwani wewe hujui yaliyompata Marehemu Mwangosi???? Saa ingine inabidi uwatoroke wauaji........ na Mungu ndie aliyempa huo upenyo ...........police wa TZ kuzingira mwanadamu mwenzao na kumwuua na kusingizia "kitu cha ncha kali kuwa eti kilirushwa" hawakawii .................. AFADHALI MUNGU KAMPA...
  5. yatima

    Sugu and Rev. Msigwa

    At least WANAONEKANA WAKO SERIOUS ................ sio zile pics za watu wanacheza MDUNDIKO WAMEVAA NGUO ZA KIJANI NA MANJANO ............ NGOJA NIKASHONE MTINDO HUU WA MAGWANDA ......... UNAPENDEZAJE????????:bounce::bounce:
  6. yatima

    Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

    weka fence ... ndefu ........weka na barbed wire ........ukiunganisha na umeme .......pia waweza weka alarm kwenye milango yako yote .........unai set ukilala otherwise fuga mbwa ... na pia kabla ya kulala OMBA HIVI> Katika jina la YESU ... JINA LIPITALO MAJINA YOTE ..... NAIWEKA NYUMBA YANGU...
  7. yatima

    Je; Unahitaji Professional Bodyguard Au Detective Agency?

    [/B][/COLOR] Hapo kwenye red ........... nakugongea "LIKE" Umesema UKWELI KABSAAAAAAAA
  8. yatima

    Rais Kikwete amteua Bi. Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC

    Kabla ya kuteua .........WATANGAZE NAFASI ZINGINE GAZETINI JAMANI ........... NASISI TU APPLY ......... yaani sijui NITATEULIWA LINI ???????????????? :biggrin::biggrin::biggrin:
  9. yatima

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    usipate shida ........... dawa ya MDONDO kwa kuku wa kiswahili ni UGORO ...........unawachanganyia kwenye maji na yule anayeumwa .... unamshika na kumnywesha. Atapona. Pia anayeumwa mpe dozi ya pilipili .......nzima asubuhi .........nzima mchana .......... na nzima jioni. I tell you within...
  10. yatima

    Askari wa JWTZ wajipanga barabarani kumlaki Salma Kikwete, Mlandizi

    mh! mie namsubiria tu 2015 ........... tutakutana tu saloon, supermarket na hata barabarani ........NINA HAMU YA KUMCHOMEKEA MIMI..................... hasa kwenye chalinze highway ....:msela: :msela:
  11. yatima

    Dalili za ushoga....

    :nod::nod::A S thumbs_up: Kweli kabisa ............ hapo kwenye red ............... utamwaona mwanaume MZIMA anaomba omba hela kwa wadada ......... anunuliwe lunch............anunuliwe juice ............ anunuliwe icecream ..'Oh hizi nazipendaga kweli" ... na eti huyo anajiona GENTLEMAN...
  12. yatima

    King'amuzi cha Digitek

    Ngoja tuende huko ofisini kwao tupate more and clear information ........... hapa JF naona ni malumbano tu information ya kutosha ZERO
  13. yatima

    PICHA: Maisha matamu jamani - JK

    kumbe anakunywa maji ya dhahabu???? Nilidhani "USTADHI"
  14. yatima

    PICHA: Dr. Slaa kwenye kikao na CEO Round Table - Kempinski Hotel

    Nimecheka sana .......... napiga picha ............. du ... TENA AKIWA ANACHEZA BAO KIJIWENI :laugh: :laugh::laugh:
  15. yatima

    Wahi sasa Solar ndogo kwa Vijijini-bei karibu na bure

    Do you mean 10 hrs after sunlight - you will get electricity for 20 hrs????
  16. yatima

    CHADEMA yakimbiwa na wasomi, Katibu CHASO ahamia CCM

    He he heeeeeeeeeee MSOMI????? ana usomi gani huyo???? ITAMSAIDIA NINI MTU AKIWA NA ELIMU YA ARDHI AKASHINDWA KUMJUA ALIYEIUMBA ARDHI YENYEWE??? Naomba TUSIMWITE MSOMI ...... tunadhalilisha WASOMI kwa kufanya hivyo ..... BORA KUWA HEKIMA KULIKO VYOTE hana HEKIMA HUYO NA AMENUNULIWA KIRAHISI...
  17. yatima

    Kamanda wa vijana wa CHADEMA akamatwa kwa ujambazi.

    kama baadhi ya viongozi wa CHADEMA ni wahalifu ..... NA WA CCM JE??? HAWAITWI WAHALIFU BALI "WAPORAJI" NANI ANABISHA??????????????
  18. yatima

    Unyama wa polisi Tanzania- walazimisha mtu kukubali video kwa kumtishia umeme

    anayewatetea polisi - asubiri hadi WATAKAPO WATESA .......... NDUGU, JAMAA, RAFIKI AU KAKA AU DADA AU HATA BABA YAKO MZAZI. Polisi wa Tanzania NOMA sana ................kwanza wengi wao THINKING CAPACITY ZERO KABISA ... wanasingizia sana watu, kazi kuomba rushwa barabarani .............. "...
  19. yatima

    humu ndani hakuna wa kuoa kabisa

    Watafute nje ya hapa ............ to every problem there is a solution
Back
Top Bottom