Wananchi wanaotumia Bima ya Afya ya NHIF kukosa huduma ya dawa mahospitalini, barabara za maeneo mengi ya miji mbovu, watendaji wa serikalikukwapua pesa za umma na kujilimbikizia mali
Watanzania si wabunifu halafu ni wavivu wa kufanya kazi, wacha Waturuki wapige kazi. Kama tatizo ni la ukaguzi basi lawama ni mamlaka zetu ambazo zimeoza maana zinaongozwa na wezi wa mitihani ya kidato cha nne 1998.
Nilitegemea Serikali kutoa tamko la maana kumbe wakatoa tamko la kitoto kabisa. Serikali iache kuzikandamiza Hospitali kwa kigezo cha huduma, wanatakiwa kutafuta ufumbuzi wa suala hilo maana NHIF imepigwa na wao wenyewe halafu leo wanataka kubebesha mzigo Hospitali.
Nikajua unajua kumbe unahisi. Hao unaowasema watoto wake ikiwa ni pamoja na Rais wa Zanzibar Dr. Mwinyi, aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mkuranga mbona hakutengwa kwa vile ni Mzanzibar? Mkuranga ndo kwao hayo mengine ya Mzee Ruksa kuzikwa Zanzibar ni ya kutafuta uhalali wa kisiasa wa Dr. Mwinyi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.