Search results

  1. The Transporter

    Msaada kwa wenye ufahamu wa balance shaft 2AZ engine.

    Wakuu kwema, Nina gari yangu RV4 (Miss Tanzania) hii gari ilivunja hii kitu na kupelekea taa ya oil kuwaka nimepeleka kwa fundi karibu wiki sasa tumepata spare part nyingine ila akitega timing yake na kwenye crankshaft ni kuwa inakuwa kama inalia knock flan hivi na isipolia knock basi gari...
  2. The Transporter

    Azam TV (Sinema zetu) itoeni hii tamthilia ya Nazi Bubu

    Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu. Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
  3. The Transporter

    Mama wa rafiki yangu changamoto

    Niende moja kwa moja kwenye mada, kifupi mie nakaa Jiji la mzee Amos makalla na nimebahatika kupata kibanda sasa hapa mtaani. Kuna bi mkubwa flani ambae mwanae wa pili licha ya mie kumzidi umri sana ila ndio mshikaji, maana hiyo mwanae ni mtu wa mambo ya mipira na mie napenda mpira na huwa...
  4. The Transporter

    Mume agundua mkewe anameza ARV ila yeye anafichwa

    Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri. Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja wakabahatika wakapata watoto watatu wakiume wawili wa kike mmoja. Ila kutokana na sababu kadhaaa wakawa...
  5. The Transporter

    Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao...
  6. The Transporter

    Inachukua muda gani kwa NECTA kutoa certificate za O-level

    Kama mada inavyojieleza hapo naomba kujua wastani wa muda ambao NECTA wanachukua KUTOA certificate kwa mwanafunzi ambaye anastahili kupata?
  7. The Transporter

    Kwa ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani ngazi ya certificate?

    Ufaulu wa huu huyu binadamu anaweza kusoma ngazi ipi ngazi ya certificate:- B/math F Geo. F Hist. D Civics. D Kiswa. D Engl. D Litera. D.
  8. The Transporter

    Ufahamu kuhusu Elimu ya QT

    Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
  9. The Transporter

    Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

    Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu. Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam...
  10. The Transporter

    Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

    Nakumbuka mwaka 2015 Mwezi 9 baada ya kujichanga changa kidogo nikawa nimesave pesa kiasi nikasema hizi hizi Boxer BM 150 wakati huo ndio zimeanza kushika kasi nikaenda niaenda kuinunua pale mitaa ya Tazara. Kwa mjini hapa matumizi yake nilikiwa naogopa kidogo maana wakati huo kulikuwa na...
  11. The Transporter

    Naomba kujua utaratibu wa urasimishaji maeneo kwa ujumla.

    Naomba kujua taratibu zinasemaje kuhusu urasimishaji maeneo kwa ujumla kama kijiji au kata kwa ujumla. Kwani nilichogundua wananchi wengi tumenunua viwanja sio maeneo rasmi sasa limekuwa na kesi nyingi kati wa mwenyekiti wa eneo husika kushirikiana na wapimaji kupiga pesa na zoezi lisifanikiwe...
  12. The Transporter

    Uber drivers Jirekebisheni.

    Niende kwenye mada moja kwa moja, Siku za nyuma tuliamini bajaj baadae ikaja bodaboda na daladala ndio waendesha hovyo barabarani . Lakini sasa hivi toka wamekuja hawa uber nao limekuwa tatizo lingine ukiona umeongozana na hizi gari tegemea haya:- kupunguza mwendo gafla bila sababu, Kusimama...
  13. The Transporter

    Majanga

    hapo umetafuna mzigo dry night yote asubuh unakuta mzigo upo hv
  14. The Transporter

    Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

    Toka jana na leo asubuhi hizi taarifa zimezagaa sana. Tunambiwa mtoto anaumwa yupo Nairobi na kwa namna moja au nyingine nimeguswa ila mpaka sasa sijafahamu huyu mtoto anasumbuliwa na nini. Mwenye kufahamu tafadhali atujuze
  15. The Transporter

    Msaada wa kisheria Kuhusu ardhi

    Habari za jumapili wadau, niende kwenye hoja moja kwa moja nilibahatika kununua kaeneo sehemu aliyeniuzi sasa ni marehemu Mungu kampenda zaidi ila yeye halikuwa eneo lake alikabithiwa tu kuuza na mwenye eneo kwa makubaliano ya kupeleka salio kwa muhusika inasemeka marehemu hakuwa anapeleka...
  16. The Transporter

    Msaada kuhusu luku za vig'avig'amuzi

    Ndugu naombeni msaada kuhusu hivi vidude maana sasa nina wiki ya pili sina umeme kwangu hii Luku ilizima gafla nikawaita Tanesco wamekuja wanasema tulichomeka vitu vinavyotumia umeme sana hivyo hii mita ndani kwa ndani imejilock kuifungua wameniambia watanitumia namba ya kufungulia ila sasa ni...
  17. The Transporter

    Jirani yangu mke wa mtu ananishawishi

    Habari zenu wanajamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada Mie nashukuru Mungu nimefanikiwa kupata Kibanda nje kidogo ya jiji la Bashite nimehamia kama mwaka sasa hapa, Sasa kuna Jirani yangu mmoja hapa kama nyumba ya tatu kutoka kwangu mke wake toka siku ya kwanza nilipokutana nae nakujua tupo...
  18. The Transporter

    Unakabiliana vipi na changamoto za kazini tofauti na kazi yenyewe

    Niende kwenye hoja Moja kwa Moja, Kumekuwa na changamoto sana katika kazi na nyingi hazihusiani na kazi yenyewe. Katika kila sehemu niliyowahi kufanya kazi nimeona ndio tatizo na hata kupelekea mtu kuacha kazi au kushindwa alichokuwa anafanya, changamoto hizo mara nyingi huwa ni Maneno Maneno...
  19. The Transporter

    Msaada Bluetooth na Hotspot havifanyi kazi.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema Nina simu Tecno C9 lakini hivi karibuni imekuwa ikinisumbua hasa kwenye mfumo wa Bluetooth na hotspot nikiwasha baada ya sekunde kadhaa inazima hivyo hivyo na kwenye hotspot nikiwasha Kwa lengo lengo la kuconnect na computer inazima na kwenye laptop inaleta...
  20. The Transporter

    Immanuel Sananda ni nani?

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba Kwa wenye uelewa hivi Immanuel Sananda ni nani? Na ana uhusiano gani na kanisa Catholic?
Back
Top Bottom