Search results

  1. Tusker Bariiiidi

    Picha Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Vijana wa Nyakati Moshi 1955

    Kuna Band ilikuwa inatwa Frank na Dada zake ikiwa na maskani yake mjini Moshi. Waliimba nyimbo mbalimbali ikiwemo maarufu iitwayo: "TUFURAHI KWANI LEO HARUSI" Nadhani bila shaka ilikuwa ya hawa kina Frank Humplink.
  2. Tusker Bariiiidi

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Ummy Shebe yupo UK tokea enzi za 1998/1999 hiviii...
  3. Tusker Bariiiidi

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Nawajua Rose Mrina wawili ngoja niwaulize kama jina la katikati ni Damas...
  4. Tusker Bariiiidi

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namjua japo ujasema wapi? Ilikuwa lini? Fafanua nikupe yaliyojiri...
  5. Tusker Bariiiidi

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Ok Okia... Japo Numero Deux Wao hutamka Numeho diiii...
  6. Tusker Bariiiidi

    Kigoma: RPC Kingai aanza kazi kwa kishindo, akamata bangi tani 1

    Hawa ndio WAMESABABISHA Tukashika nafasi ya tano Duniani... Tulistahili kuwa Numero Uno au hata tatu bora
  7. Tusker Bariiiidi

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Marhum Ford huyu alikuwa anapenda Starehe enzi za Late 70es to Early 80... Mtoto wake wa kumzaa anaitwa WABOGOJO kwenye video za Mr.Nice alikuwa anajikunja kunja alikuwa Monaco hivi karibuni yaani maisha yapo njema... Marhum Ford ameacha Ghorofa moja jembamba la Floor 2, ukiwa unatokea Mabatini...
  8. Tusker Bariiiidi

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Huyu alikuwa Police tena alistaafu akiwa na Cheo cha U RPC Mbeya
  9. Tusker Bariiiidi

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Askofu wa kwanza ni jamaa ambaye alikuwa anafanyakazi BARAZA LA MAASKOFU Kurasini Daaah yeye ni mwendo wa HEINEKEN na kutunza Waimbaji
  10. Tusker Bariiiidi

    Mstaafu wa Jeshi atuhumiwa kuua kwa risasi kisa mgogoro wa mipaka

    Ni Patience jameni... Sema Waandishi /Police wa Kibongo tena
  11. Tusker Bariiiidi

    Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

    Naye amefariki mwezi uliopita RIP Kairugs...
Back
Top Bottom