Search results

  1. M

    naombeni ushauri wenu wadau

    My dear, mwanaume akikuchoka anatafuta kila sababu ya kutokea. Kama nimekuelewa umeandika kuwa jina mlikubaliana kabla, ila baadae ndio amekuja geuka. Huyo amepata mwingine huko aliko ndio katafuta sababu ya kukuacha,,, Mpigie simu jaribu kuongea nae kuwa angependa mtoto aitwe nani, ukona hana...
  2. M

    When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

    Pole sana kwa yaliyokukuta, Mungu wetu ni mwaminifu hili litapita na utashangaa. Mtangulize Mungu katika maisha yako, mlee mtoto wako kwa furaha msahau, malipo ni hapahapa duniani, dunia itamfundisha. Soma Zaburi 23
  3. M

    Naomba kuwa mmoja wa familia ya jamii forums

    Habari zenu? Naomba kuwa mmoja wa familia nzuri ya Jamii Forums?
Back
Top Bottom