Search results

  1. M

    Mliowahi ku-date/kuoa/kuolewa na wazungu let's share changamoto mlizokutana nazo. Au ni kama wabongo tu?

    Kuna brother wangu aliwahi kuoa m Sweden. Changamoto aliyo ipata ni kwamba yule mzungu alifariki #Ova
  2. M

    Katibu Mkuu CHADEMA(Taifa) na Mwenyekiti BAVICHA(Taifa) ni mizigo kwa chama, waondolewe haraka

    Kwani huyu wa CCM tangu Jiwe lilipo ingia madarakani amesaidia nini Chama zaidi ya kupiga kimya?
  3. M

    Nimeweka salio sh 1, 000 kwenye simu ajabu nimeamka imebaki 852

    Kuweka vocha bila kuzima data hakujawahi kuacha salio salama [emoji23]
  4. M

    Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Nitahama nchi kama zikipigwa mnada hizo mali labda kama sio Paul Makonda mheshimiwa
  5. M

    Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Ungemfukuzia halafu ungempa Kerb moja huyo dereva ili iwe fundisho kwa madereva wengine
  6. M

    Arusha: Mwandishi wa habari atekwa ateswa kisha kupigwa picha za uchi

    Huyo nae atakuwa amejiteka kama Abdul Nondo
  7. M

    Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

    Wengine hata baiskeli ni empty. Life is not fair
  8. M

    Rais Dkt. John Magufuli kuwakabidhi Kombe Mabingwa wa VPL Simba SC

    Hii habari sio nzuri kwa Yanga
  9. M

    Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. M

    Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

    Unazungumzia bikira ya wapi kwanza?
  11. M

    Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

    Hawajapenda kupeleka hicho kikosi lakini tatizo ni Umasikini uliopitiliza. Nasikia hata hela ya kununulia luku kwenye ofisi za klabu hamna [emoji23]
  12. M

    Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

    Prisons wamemtoa Sugu, wamemfunga Yanga. Nilijua tu kuwa huu ni mtego [emoji23]
  13. M

    Spika Job Ndugai azuia swali la Mbunge Kubenea lisijibiwe na Waziri Mkuu

    Itakuwa ni ile albadir iliyosomwa imempata
  14. M

    Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

    Ni kibaya kuliko cha huyu mwenye PhD Jiwe?
  15. M

    Orodha ya Makocha walioharibu CV zao

    Umeniwahi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom