Search results

  1. Great 4g

    Taasisi kumi za usalama wa taifa zenye nguvu zaidi duniani

    Nisaidie vigezo vilivyotumika kujua idara bora ya usalama kati ya hizo zote. Pia nijuze kwa mini ISI I we idara bora ikiwa Osama alikuwepo nchini kwao tena karibu na jeshi na hawakujua. Nisaidie pia hii Research ni ya mwaka gani. Hata Mimi naweza kukuhakikishia idara yetu ni bora zaidi
  2. Great 4g

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    KWA MTAZAMO WANGU mtoto wa kwanza ni Lango (Mlango) Lango linaweza pitisha mambo mazuri (baraka) au pia kupitisha mambo mabaya (matatizo). Kwa neema ya MUNGU mzaliwa wa kwanza akiwa na Tabia zisizo njema , basi mtoto wa mwisho hufanyika rehema kwa familia angalau awe faraja/baraka kwa...
  3. Great 4g

    Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Pole ndugu kwa kuuguliwa.. Huo ugonjwa kiukweli unatisha but kuna neema ya MUNGU pia. Ntakueleza kidogo kwa uelewa na elimu niliyopewa na wataalamu. Huo ugonjwa ni ugonjwa unaoshambulia Cell ktk INI. Ni ugonjwa unaosababishwa na kugusana na majimaji na mtu anaeumwa huo ugonjwa. Yawezekana...
  4. Great 4g

    Mpenzi wangu hanihudumii wala haniridhishi kimapenzi

    Pole kwa hilo tatizo Kwa mwanaume kushindwa kurudia round kunasababishwa na mambo mengi, Inaweza kuwa Stress, ulaji na unywaji (aina ya vyakula) inawezekana ni maradhi. Lakini kubwa zaidi ni je wew unajishughulishaje mnapokuwa faragha ili kuziamsha hisia zake au unakuwa kama gogo, hata...
  5. Great 4g

    Njia zinazotumiwa na Rwanda na Kenya kuingiza wapelelezi wao Tanzania

    Mtoa mada ungeweka reference's ingesaidia zaidi. Taifa lolote Espionage ni jambo zito kuepukika. Mbinu hizo ni mbinu ambazo mataifa mengi ulimwenguni huzitumia kuwachunguza majirani zake. Hii husaidia kujua uimara na madhaifu kwa mataifa yaliyomzunguka, pia humsaidia kiusalama na kujiimarisha...
  6. Great 4g

    Ewe mwanaume mwenzangu huu ni ulofa wa hali ya juu sana

    Mtoa mada Kama upo Serious basi umesahau kuwa UZURI WA MKAKASI NDANI KIPANDE CHA MTI
  7. Great 4g

    Mashirika ya kijasusi duniani

    Point of correction Raid= Rais #typing error Raid
  8. Great 4g

    Mashirika ya kijasusi duniani

    Nitajibu kwa uelewa wangu mdogo wa darasa LA saba Mashirika ya kijasusi ktk nchi tofauti huwa chini ya Raid (mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama) Sambamba na hapo huwa chini ya Mkurugenzi wa Idara hiyo. Pia kama ilivyo ktk mashirika au taasisi zingine, hawa nao huwa na vitengo mbalimbali...
  9. Great 4g

    Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Ni hatari sana kuitakia mabaya Nchi yako mwenyewe, Mbaya ni pale unaposahau kuwa impact yake itagusa Kiuchumi, miundombinu, kiafya na nyanja zote za maendeleo ya jamii yetu. So athari zake zitaenda kwa kila mmoja (yawezekana kutoona hili ktk jicho la kawaida) USHAURI: ktk jazba...
  10. Great 4g

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hongera kwa kuwa na moyo na kiu ya kuona wengine pia wanafanikiwa..!! Ni imani yang kwa moyo huo wa kutoa vivyo hivyo MUNGU atakubatiki na utapokea zaidi
  11. Great 4g

    Rejoinder: kazi ya ushushu Tanzania vs Matarajio ya jamii...

    Si vyema saana kwa kosa la mmoja au wachache kuwabebesha wote... Nachoamin ktk utumishi wowote ule unaofanyika na binadamu mapungufu hayatakosekana japo kwa idara nyeti kama hii si vyema kuonekana waziwazi. Kabla ya kuinyooshea kidole idara hii kuwa imekosa maadili/uwajibikaji haupo sawa kwa...
  12. Great 4g

    Ni kwanini walinzi wa viongozi huwa hawana desturi ya kufunga vifungo vya makoti?

    Kunawakati mwingine kabla ya kujibu swali huwa najiuliza, lengo la muulizaji ni nin? Jibu litakalotoka litamsaidia ktk nyanja zipi? Nk Sisemi muulizaji labda analengo la kujua ili kufanya baya, la hasha.. Ila nataka kuamin jibu alikuwanalo..!!
  13. Great 4g

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Kumzuia msanii asiongelee jambo linaloigusa jamii, ni sawa na kuizuia FASIHI ANDISHI na FASIHI SIMULIZI isifanyekazi. Kwa maana nyingine haitakuwa na umuhimu wowote hata ktk mitaala yetu ya shule. Msanii HUFUNDISHA JAMII, HUIONYA, HUELIMISHA, HUIBURUDISHA nk.. Na ndosababu hata mashuleni tuna...
  14. Great 4g

    Wana-Intelligence naomba mnisaidie ili niwe Mwana-Intelligence niliyekamilika

    *usipende kuwa mwongeaji sana mbele za watu, kuwa msikilizaji zaidi *Usielezee mambo yanayokuhusu kwa mtu ambaye si lazima ajue *jitahidi kuwajua watu wanaokuzunguka mahali unapoishi ni watu wa namna gani/wanajihusisha na nin *Usikae eneo moja zaidi ya dakika 10 ikiwa hakuna ulazima/umuhimu wa...
  15. Great 4g

    Peter Bwimbo (Mlinzi mkuu Mwl. J.K Nyerere): Changamoto nilizokumbana ktk Ulinzi wa Mwl. Nyerere

    Nimpongeze mwandishi wa hiki kitabu, ni zao bora sana kwa jamii na sifa kwa Idara husika.. Uzalendo ni kitu cha msingi sana haijalishi unafanyakazi wapi/idara gani au hata kama hufanyikazi. Mwaka jana nikiperuzi mitandaoni nilikutana na kitabu hiki, nilitamani sana kukipata nikisome, ila kwa...
  16. Great 4g

    Vitabu 10 ambayo vitakujenga

    Una link yake? Au naweza kukipataje mkuu
  17. Great 4g

    Vitabu 10 ambayo vitakujenga

    Sina hakika ktk library gani..ila ntamuulizia mtu ktk library nazofaham nikipata uhakika ntakuelekeza
  18. Great 4g

    Vitabu 10 ambayo vitakujenga

    Ingia playstore udownload. Mim nilivipata huko baadhi ya hivyo vitabu
Back
Top Bottom