Search results

  1. M

    Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    Iran vitu vyake anavipaka KY Jerry so vitu lazima vipenye tu utake usitake
  2. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nnavyomjua dogo kiduku wa NK hii habari ya BURERVESTINIC ameshaipata na ameshavurugwa sidhani kama mwaka utaisha hajaenda tena Moscow.Yaani habari za ๐Ÿš€ na Nukes zinamtia sana mzuka
  3. M

    Yanga wakati wanafanya usajili, Simba wao walikuwa Uturuki wanatengeneza shepu

    Kwa timu hii kuna siku watu watasema Al Ahly ya misri ni wabovu
  4. M

    Je ni kweli Yanga ina mashabiki wa kike wanaotoa ngono buure kabisa siku yanga ikishinda?

    Kisu kimegusa kwenye mfupa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
  5. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kweli njaa haina baunsa na nikweli adui yako muombee njaa tu,ZELE utapia mlo unamuhusu.Sasa kama wao ni vidume si watumie nguvu au wanaogopa kitu gani?
  6. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamaa hajafa sasa hivi ndio anashuka MOSCOW kwenda kupata LUNCH na PUTIN
  7. M

    Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Mida hii PRIGO ndio anatua MOSCOW kupata Lunch pamoja na PUTIN
  8. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuku anapulizwa na upepo kwahiyo sehemu za siri lazima zionekane,yaani sasa hivi usipokubali USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ na Nato ni wauaji na waporaji peponi huingii ng'oo
  9. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani hilo dude ukiliona ujue shughuli ndio imeiva yaani humo ndani kuna Kamikaze kama mia nane na Kinzal 3 tu za kuwaonjesha kina Tinubu.
  10. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia ndio superpower natural kabisa yaani pure natural,NATO ni broiler kama broiler wengine tu.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni FSB ni nyooooko
  11. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tinubu ana bahati sana angekula kamikaze za utosi mpaka achakae๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
  12. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Daah yaani habari hizi nikisoma huwa nasikia raha kama bao la kwanza,yaani PUTIN ana UGWADU yaani ana UGWADUUUUUU!
  13. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani kama alivyoingia chui wa Facebook kumkamata Ngiri,ila kilichomkuta chui alivyoingiza kichwa kumtoa Ngiri shimoni alijuta.Hii ni vita kati Mungu na Shetani
  14. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ndugu yangu tuanze kujizoesha kunywa chai na magimbi asubuhi maana chapati na maandazi yataadimika
  15. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii hali ya ukimya ndio inayowaogopesha Upinde,maana wamestuka kwamba Mwamba PUTIN anachekea chooni.Yaani wakithubutu tu basi moto utawashwa kutokea kwa mjomba LUKASHENKO kule Belarus ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡พ
  16. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    CV ya KIBABE,sio siri uchawi upo yaani vijimgambo vya Ukraine sio akili zao kutunishiana msuli na Dubu sema ndio wamesharogwa watafanyaje?
  17. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Zele akirudi Kiev niiteni Ubwa nimekaa paleeeeee! Mpaka May 20 mwakani watu tunafanya usafi ili tuwajengee watoto shule wasome ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  18. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kimasihara siraha Kiev nayo itabakia kwenye mioyo yao kama Bahmut ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
  19. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Next time ukisikia tunasema tena tumeishiwa silaha ujue KIEV HAS FALLEN
Back
Top Bottom