Search results

  1. F

    Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi

    Ni kweli serikali haikumtuma RC Makonda, na vita dhidi ya ushoga serikali haitambui. Rc Makonda kwa kufanya anavyofanya yumo ndani ya sheria na zipo baadhi ya sheria ambazo kimsingi zinakinzana na Haki za Binadamu.Cha maana anachokifanya RC Makonda ni kunusuruwatoto wa kike na kiume katika janga...
  2. F

    Wimbo wa ukawa umekubalika

    Umekubalikaje? fafanua
  3. F

    Jinsi ya kutengeneza website(tovuti) bure ya kiofisi (acha kulipia leo)

    Asnte kwa somo zuri my dear epert. Mungu akujalie kwa ukarimu,natumaini unafahamu fika uchoyo haulipi.Thanks to jamii forum too.Nimepata ujuzi bila malipo.
  4. F

    How to use JamiiForums effectively

    wapenzi wa jamii forum,mnajua, kila aliyefika kuhesabu kumi lazima kaanza moja.Jifunzeni kwa makini ni rahisi sana kutumia jamii forum,kubwa zaidi ipo hata kwenye lugha yetu ya kiswahili.Tujitahidi kusoma kwa kuzingatia na kufuata maelekezo, tutaelewa vyema.
Back
Top Bottom