Siku kama ya leo mwaka 1971, jitu la Miraba minne Idd Amin alijitangaza kuwa Rais wa nchi ya Uganda na hii ni baada ya kugutuka kwamba Milton Obote alikuwa akipanga kumkamata kwa matumizi mabaya ya fedha za jeshi, Awali, Amin alichukua mamlaka kwa kufanya mapinduzi ya kijeshi tarehe 25 Januari...
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
Tarehe 05 mwezi Februari mwaka 1997 ilikuwa siku muhimu yenye matukio ya kufurahisha na kuhuzunisha. Kabla haujayapitia hayo matukio matatu, Kumbuka siku hii chama cha TANU na ASP viliungana na kuunda Chama cha Mapinduzi (CCM).
Lakini 1. ASP ilikuwa inatimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake na...
Hellow, r u fine?
Tafaadhali Nicheck ukihitaji huduma ya muundo wa picture (Graphic Design)
Karibu kwa
-Visual identity
Logo, Business Card, ID
(Nembo, Utambulisho wa biashara, Kitambulisho)
-Marketing materials
Flyers, Brochures, Postcards, Posters Packages.
(Vipeperushi Aina zote na...
Ng'olo Kante, alitamani kombe la dunia lichezwe nchini Ufaransa kila mwaka, kwasababu mwaka 1998, alifanikiwa kuzoa taka nyingi kuliko miaka yake yooote ya kuzoa taka mitaani.
Kante alizaliwa Machi 29, 1991, huko mjini Paris nchiniUfaransa. Wazazi wake walikuwa wahamiaji kutoka nchini Mali...
Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa utamaduni na muziki wa Hip Hop hawaishi kuongelea msuguano huu uliotokea kwenye Album ya Nas...
Watu walikuwa smart na wababe, mtu anayeogopwa na Rais na vyombo vyote vya dola huyo sio wa mchezomchezo. Umewahi kuwaza ni namna gani vitengo vya usalama vinamtambua mtu kwa kutumia alama za vidole?, basi haya yote yasingekuwepo bila ya mtu aliyeitwa Edgar Hoover
Edgar Hoover Me napenda...
Ni mpenzi wa sanaa au watu mashuhuri waliowahi kuishi na kufanya mambo makubwa hapo zamani? kama ndivyo jina la Leonardo Da Vinci na Michelangelo si mageni kwako.
Sikumoja Leonardo alikuwa na Rafiki yake Giovana di Gavina. Walikuwa wanapita maeneo Fulani ya bank ya Spain karibu na kanisa la...
Au niite mgongano (maana halijawa bifu 100%, ila nadhani nimeeleweka kwa huo msamiati) Mwaka jana mwishoni kumeibuka msuguano (kutoelewana) kati ya snoop dogg na Eminem.
Kumbuka hawa jamaa wamekuwa karibu kwa mda mrefu bila kusahau wanaunganishwa na Dr Dree (wote ni watu wa karibu na dree na...
Siku njema ya kuzaliwa kwa Billclinton
SIJASOMA KITABU CHA MZEE MKAPA, ILA HILI SIDHANI KAMA HILI LIMEANDIKWA.
Twende pamoja kwa haya machache na mwisho uone mbwembwe za mwandishi wa habari huko AICC😄
Kama haujui, wanasema Bill Clinton ndiye rais mwenye IQ kubwa kuwahi kutokea nchini...
Georgia, Marekani, hili ndilo tulio la kwanza kwa mtu aliyehukumiwa kifo kutoroka gerezani. Alitoroka siku moja kabla ya hukumu yake ya kifo. Bahati mbaya mtu huyo, alifariki kesho yake kwenye ugomvi uliotokea BAR
Troy Leon Gregg alizaliwa April 22, mwaka 1948 na kufariki July 29 mwaka 1980...
Kwasasa imekua lugha inayotumika kwenye mambo maalumu tu, je kuna ubaya nikisema hii lugha imekufa?, kama ulikua hujui kuwa lugha inakufa ndio ujue leo, wataalam wa lugha wanaweza kuelezea lugha inakufa vipi.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa historia, najua haukuwepo ila unatambua jinsi utawala wa...
Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi.
Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka 12. Walipitia maisha magumu na familia yake na ni msimu ambao hata baba yake aliitelekeza familia...
Joker au jokeri, wacheza karata wanampenda na wanamwogopa, akikulalia huyu unahesabiwa una 50, kwenye adhabu unamlambisha mtu 5. Tuachane na huyu
Joker anayejulikana kwa jina la Arthur Fleck (jina halisi Joaquin Phoenix) kupitia movie ya JOKER 2019 na movie zingine nyingi zinazomuonyesha kuwa...
ACHANA NA BLACK PANTHER WALE PAKA Au movie ya Wakanda
Leo nakupa historia/ machache kuhusu chama cha Black Panthers.... walioishi kwa falsafa za Malcom X na kusambaratishwa kwa Hila za FBI
Kama unaikumbuka historia ya tupac na Mama yake Afeni Shakur
Afeni alikua mwanajumuia wa Black Panther...
NA AnonymousAfrica #Twitreporter
Nimeandika hii, kwaajili ya kuwapatia watu picha kamili kwa lengo la kukujuza / kuelimisha / Kwa wengine ni burudani pia. Sina lengo la kuchonganisha, wala kubagua
Kuuliwa kwa Malcolm X
Mnamo Februari 21, 1965, Malcolm X aliuawa wakati akitoa hotuba katika...
KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980
Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa Mk-ultra. Kama umetazama movie za James Bond au Jason Bourne USIDHANI yameisha kwenye movie tu, haya mambo...
Watanzania na waafrika wanapinga tukio la Askari kusababisha kifo cha Mmarekani George Floyd. Wamarekani wameandamana huku waafrika/watanzania wakitoa maneno makali mitandaoni na mitaani juu ya tukio hilo.
Kwangu mimi kifo au ukatili ule umenifunza kuwa umma ukiamua kupata mabadiliko lazma...
Kuna hadithi tatu zinazozunguka juu ya kile kilichotokea kwa majivu ya Tupac, kama hautambui ni kwamba, Baada ya kifo cha Tupac alichomwa moto ikiwa kama destruri ya watu wengi. kupenda kufanyiwa hivyo au hata familia kuamua.
Simulizi Mbili zinaaminika kabisa na ya mwisho ina ukakasi kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.