Search results

  1. onkoko

    Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Kile kikao cha mweshimiwa sana na watendaji wa kata matokeo yake ndoo hayo
  2. onkoko

    Mtego kwa ajira vijana wasiojiandikisha hawatapa ajira watakula jeuri yao

    Utuache toka nimalize chuo 2015 cjawahi sikia neno ajira Leo unataka kunitisha kuwa nisipojiandikisha hung ajiri, bora nife njaa nikiwa huru
  3. onkoko

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    [Kajenga nyumba za jwtz nchi nzima QUOTE="britanicca, post: 33128597, member: 290488"] Kwa Kifupi Kikwete kafanya Mambo mengi sema kosa alilofanya ni kuruhusu watu wamchezee sharubu Kikwete Kaongeza Hospital kadhaa While za Kata Nyumba za watumishi wa Umma kama Polisi na Walimu Vivuko nchi...
  4. onkoko

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Endeleeni kujiteua ili kutimiza adhima ya kiua upinzani. Sisi vijana tupo mtaani jobless then mnakuja kusema nikatimize haki ya kikatiba ya kuwaajili,? Mtuaache tuendelee kupambapana na hali zetu.
  5. onkoko

    Kosa la Kebwe ni lipi?

    Mimi sio zembe wivu tuu umewajaa
  6. onkoko

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Semeni kuwa mnanisema mimi Ngoja niende kwa Mange.
  7. onkoko

    Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

    Umerudi safari yako ya Japan? # FaizaFoxy
  8. onkoko

    NEC wajibu baada ya Mahakama kubatilisha Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi Mkuu

    Kim singing makabila ya wandali na wanyakyusa wanazunguza lugha zinazofanana na watu wa Africa magharibi hasa Nigeria na Ghana.
  9. onkoko

    Kuhusu CHADEMA ya Mbowe nayasema haya kwa masikitiko sana

    Broo kama ni wew uliyeandika yule Facebook kumnanga mbowe na chedema sasa nimekutambia jina sikutaji ila jifunze kuvaa uhusika wa mateso ya mwenzio Mdude CHADEMA
  10. onkoko

    Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Katika biblia kulikuwa na mfalme Daudi ambaye mwanaye Absalomu alipanga njama ya kumpindua Daudi ili Sulemsin akose ufalme lakini Daudi alikwambia Yoabu kuwa Absalomu asiuawe baada ya kukamatwa, yote hii inatufundisha kuchualiana na kusameheana
  11. onkoko

    Msaada wa ushauri wakuu

    Nimeishi naye kwa miaka mitatu na sasa nimemtaftia kazi ila naona yupo busy kubadili nywele kichwani
  12. onkoko

    Msaada wa ushauri wakuu

    Nimeishi naye kwa miaka mitatu na sasa nimemtaftia kazi ila naona yupo busy kubadili nywele kichwani
  13. onkoko

    Msaada wa ushauri wakuu

    Asanten nyote kwa ushauri wenu
  14. onkoko

    Msaada wa ushauri wakuu

    Naomba ushauri ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 30, nimeoa na nimebatika kupata mtoto mmoja wa kike. Nimepanga nyumba mbezi beach yenye chumba na sebule. Sasa naishi na mtoto wa dada ya mke wangu ambaye pia ana mtoto na pia yupo dada wa kazi ambaye hubaki na watoto pindi tunapoenda kutafta...
  15. onkoko

    Kenya na Somalia zaingia kwenye mgogoro, Kenya yamfukuza balozi wa Somalia.

    Somalia hao hao waliwaruhusu China kufanya shuguri za uvuvi kwenye bahari kuu ya Somalia; waafrika vichwa vyetu sio vya kufugia nywele tu bali na kwaajili ya kufikiria na nywele ni pambo tu kichwani
  16. onkoko

    Ofisi za upinzani zifungwe hazina tija kwa Taifa kwa sasa

    Ogop sana kuumwa minyoo inayoshambulia akili.
Back
Top Bottom