Search results

  1. lwampel

    Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

    Usipite hayo maeneo wanayouza ukiwa na njaa,. hakikisha umeshiba ndo upite hapo itakusaidia kutotamani hiyo pweza na kachori
  2. lwampel

    Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

    Madibira Kijiji Cha mkunywa. Umenikumbusha mbali sana mkuu
  3. lwampel

    Ziko wapi nyakati ndugu zangu?

    Nimependa hapo kwenye hiyo nyekundu
  4. lwampel

    Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa

    duh we jamaa unawaza haraka mno
  5. lwampel

    Wangoni na wamatengo waogopeni

    Bombi nyumbii?
  6. lwampel

    Je, ulishawahi kudhulumiwa au kutapeliwa? Tushikishane mbinu za Matapeli na namna ya kuziepuka

    Mimi nakumbuka mwaka 2015 nilipokua naishi maeneo ya Mbagala nilikua nauza CPU yang ambayo nlikua naitumia kwa matumiz yangu ya nyumban Kutokana na ubize Wang wa masomo nilishindwa kutafuta mteja mimi mwemyewe so kuna jamaa mmoja wa pale mtaani nlipokua naishi nikamuomba anisaidie kutafuta...
  7. lwampel

    Wale wacheza kamari CASSINO tukutane hapa

    duh kama ndo Mimi nakwenda kwa meneja kumuomba msamaha aniludishie pesa yang
  8. lwampel

    Kabrasha chumba cha kunyongea

    Vipi sehemu ya pili bado?
  9. lwampel

    Hivi ile hotel ya kitonga ndio imekufa?

    Umenikumbusha Mbali sana mkuu kwahiyo picha
  10. lwampel

    Brands maarufu za zamani Tanzania 90z kurudi nyuma

    Sabuni ya kipande ya kufulia COOL DRY yenyewe INA mistar mistar
  11. lwampel

    Ushamaliza sh ngapi hadi sasa kwenye Biko, 3 mzuka, dakapesa na wanawe?

    Bora kubeti mpira unaniliwa huku unaona mwenyewe ulichobashir
  12. lwampel

    SWALI: Kati ya Shetani na Adamu nani alikuwa wa kwanza kuwepo duniani

    Kama unamzungumzia shetani basi alitoke baada ya adamu kuumbwa. kabla ya Adamu hakua shetani ila alijulikana kama ibilisi(jini)aliyekua akiishi pamoja na malaika. Hivyo baada ya kukataa kumsujudia Adamu ndipo alipolaaniwa nakubadilika kua shetani, hapo inaonesha baada ya adamu kuumbwa ndipo...
  13. lwampel

    Damu ya mtu hunuka

    Death is not funy!
  14. lwampel

    Nyumba za kupanga ni degree tosha

    Choo hakija ezekwa juu, Asa mtu atawezaje kunya huku ananyeshewa na mvua mgongoni.
  15. lwampel

    Je, hivi ndivyo Jamal Kashoggi alivyouliwa na majasusi wa Saudia Arabia?

    Hiyo video ni yakinyama sana, haifai kwamatumizi ya binadamu
  16. lwampel

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Kama kuna kituo cha polisi apo karibu nenda watakupa maelekezo yote
  17. lwampel

    Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Ivi ni kweli kwamba roho ikiwa inatoka kuna maumivu makali sana ambayo mtu hua anapata?
Back
Top Bottom