Search results

  1. akuhmm

    Siku za Paul Makonda kama RC wa Dar es salaam zinahesabika

    Halafu.....unajenga kwa pesa ipi
  2. akuhmm

    Mhe. Rais, hii ndiyo Julius Nyerere International Airport inavyowatesa wageni na kuwakimbiza

    Faida zipi km wanaingiza dola 50 per head? Wakifika wanapanda bajaji watu 4 wamebanana. Hotel wanazolala za bei chee. Wanaingiza faida zipi hasa unazosema. Sisi kwenda kwao mpaka uwape na bank statement zako au any proof of how u r going to survive kwa kipindi hicho.
  3. akuhmm

    Mhe. Rais, hii ndiyo Julius Nyerere International Airport inavyowatesa wageni na kuwakimbiza

    Tukitaka kwenda kwao tunalipa si chini ya laki 2 na inachukua minimum ya wiki 3 kuprocess hiyo visa ambayo huna hakika kama utapata. Wao kungoja one hour kwa 50 dolars kwa kitu cha uhakika kabisa nadhan hawapaswi kulalamika. Labda tu wangeweka mazingira mazuri ya wao kukaa kwenye viti wakiwa...
  4. akuhmm

    Siku za Paul Makonda kama RC wa Dar es salaam zinahesabika

    Namba sita ckuwah kusikia na imenicheksha hatari.. plan ilikua kung'oa majengo na kuyahamisha au? Coz hakuna jinsi ubadilishe hotel na jins ilivyojengwa ghafla iwe makazi ya watu[emoji28]
  5. akuhmm

    Hii nyama ya mbwa nasikia inaongeza nguvu za kiume.

    Mbwa koko mtaani wataisha
  6. akuhmm

    Mh. Msigwa umeonesha ukomavu katika siasa

    Sijui anamwambia nn mdada mrefu
  7. akuhmm

    Ikulu yatoa marekebisho kwenye majina ya wakurugenzi wa halmashauri walioteuliwa na rais

    Watu watakua wameisha ndo maana uteuzi unajirudia
  8. akuhmm

    Matumizi ya Video Queens: Wasanii wa Bongo wanaboa

    Kwan mkuu hy mpya wajua maudhui?
  9. akuhmm

    TCRA yazipiga faini kampuni 6 kwa ukiukwaji wa masharti ya usajili wa namba/laini za simu za mkononi

    Linganisha na idadi ta line zilizotajwa kwenye kampuni za hapa
  10. akuhmm

    Tovuti mbaya za serikali zilizotengenezwa na watalaam wa IT wa Tanzania

    Labda nianze kwa kusema concern yako inaweza kuwa valid na pia mimi si mtaalam wa IT so sidefend mtu. Ila ninachojua lack of information kwenye tovuti inatokana na idara husika na wala sio mtengeneza tovuti. Mtaalam wa IT hawez kuwa na info za idara husika mpk apewe. Na kama hajapewa unategemea...
  11. akuhmm

    Nimevutiwa na hili la FBI vs Hillary Clinton

    Wanamtafuta nani? Wazungu wa cku hz au wa zamani?
  12. akuhmm

    Vikundi vya haki za binadamu vyatoa dukuduku lao kuhusu kuuwawa kwa watuhumiwa wa uhalifu

    Kuna kijana black american enzi ubaguz bado upo kwa sana alishitakiwa na kuhukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumbaka na kumuua mtt wa kizungu. Alinyongwa wakazika na baadae kuja kugundua sio yeye alofanya huo uhalifu. He was just at the wrong place at the wrong time. Ndo maana kuna fair trial kabla...
  13. akuhmm

    Kila mwananchi lazima apake nyumba yake rangi - DC Kinondoni

    Ee bwana ee uswahilini kuna vitukooo
  14. akuhmm

    Bavicha msiende Dodoma Chonde!!

    Kwani hicho kikundi ni cha kisiasa? Just curious....dont tell me curiosity killed the cat
  15. akuhmm

    Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Watoe tamko lingine sasa. Mbona kimya kimya. Wanaona aibu. Unaita press conf na kutoa press release then unarecant maneno yako. Only in tz
  16. akuhmm

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Wadau hawa wote (BOT, TRA & BANKS) walitakiwa wakae pamoja wapitie sheria na sera badala ya kuropoka mitandaoni
Back
Top Bottom