Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita.
Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati...
Leo, Agosti 7, 2022 ni miaka 24 tangu balozi za Marekani Dar es Salaam na Nairobi ziliposhambuliwa na magaidi. Mastermind wengi wa matukio haya wameshapotezwa including Osama bin Laden (2011) na Ayman al-Zawahir (Julai 31, 2022). Tuwaswalie ndugu zetu waliopotezwa roho zao kwenye matukio haya ya...
Jeshi mahiri na lenye morali isiyo na mfano la Ukraine wamedaka mdude wa kirusi ambao kwa sasa uko njiani kupelekwa Ulaya kabla ya kupelekwa Marekani kuchunguzwa kwa kina. Ni matumaini ya wapenda amani duniani kwamba siri lukuki za warusi zitaanikwa peupe.
....
Ukrainian forces have seized part...
Wadau nafasi ya Spika ndio hivyo iko wazi. Na kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba (iliyopo) mgombea nafasi ya uspika sharti apendekezwe na chama ni muafaka kwa vyama hususan vyenye wabunge kupendekeza majina ya wagombea kupitia vyama vyao.
Nawashauri ACT Wazalendo waitishe press chap watutaarifa jina...
Wadau!
Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha".
Kama tunavyojua...
Polisi mwingine muuwaji huko New Mexico, Marekani huyo hapo.
====
Body camera footage obtained Sunday shows a New Mexico police officer telling a man he’s going to “choke you out” before allegedly causing his death with what authorities described as a “vascular neck restraint.”
The officer...
A new draft law that could make it easier for foreigners to gain permanent residency in China has stirred up a torrent of xenophobia online.
The proposal, released by the justice ministry last week, has been gathering billions of views and a flood of angry posts on social media, targeting...
Jisomee masuala ya huko Marekani.
====
Washington (AFP) - Experts warned a US government panel on Wednesday that India's Muslims face risks of expulsion or other persecution under a citizenship law that has triggered major protests.
The hearing held inside Congress was called by the US...
FaizaFoxy,
Middle East Respiratory Syndrome ni ugonjwa hatari ambao binadamu huupata kutoka kwa wanyama jamii ya ngamia wanaopatikana kwa wingi maeneo ya Masharaki ya Kati.
Ugonjwa huu husababishwa na virusi jamii sawa na "coronaviruses" jamii ambayo husababisha pia ugonjwa wa SARS na pia...
The endangered pangolin may be the link that facilitated the spread of the novel coronavirus across China, Chinese scientists said Friday.
At least 31,000 people have been infected and 630 killed by the virus, which has spread to two dozen countries.
Researchers at the South China Agricultural...
Dubai (AFP) - Energy-addicted Gulf states must undertake much deeper reforms or risk seeing their wealth drain away in 15 years as global demand for oil slides, the IMF warned Thursday.
"At the current fiscal stance, the region's financial wealth could be depleted by 2034," the International...
KHARTOUM RESOLUTION - 1967
The conference has affirmed the unity of Arab states, the unity of joint action and the need for coordination and for the elimination of all differences. The Kings, Presidents and representatives of the other Arab Heads of State at the conference have affirmed their...
Hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe! Yaani wanatengeneza bendera za Marekani, Uingereza, na Israel purposely kwa ajili ya kuzigawa kwa supporters wa Serikali ili wazichome hadharani kwenye maandamano yao. Soma hiyo.
=====
KHOMEIN, Iran (Reuters) - Business is booming at Iran's largest...
WASHINGTON (AP) — President Donald Trump on Wednesday minimized the severity of head injuries sustained by U.S. troops during an Iranian missile strike on an Iraqi air base as he was pressed on why he'd claimed no troops had been injured in the attack.
“I heard they had headaches and a couple...
TEHRAN, Iran (AP) — Masked gunmen on Wednesday ambushed and killed the local commander of a paramilitary security force in southwestern Iran, an associate of Iran's top general recently killed in an American drone strike in Baghdad, the official IRNA news agency reported.
The slain commander...
Haya kumekucha tena. Marekani yamtolea uvivu Kim na deadline zake. Soma hiyo.
=======
SEOUL, South Korea (AP) — A senior U.S. diplomat said Monday that Washington won’t accept a year-end deadline set by North Korea to make concessions in stalled nuclear talks and urged Pyongyang to return to a...
Huyu dogo naona anatest kina asichokijua kwa kuingia mzima mzima. Msomeni hapo.
===
English soccer club Arsenal tried on Saturday to distance itself from the comments of its star midfielder Mesut Ozil after he posted messages on Twitter and Instagram critical of China's policies toward its...
Naona huko India wameamua "kujionjesha sumu"! Soma hiyo.
==============================
New Delhi (AFP) - India's lower house passed controversial legislation early Tuesday that will grant citizenship to religious minorities from neighbouring countries, but not Muslims, amid raucous scenes in...
A Russian state company suspended a research project with Iran because of its decision to resume enriching uranium, a move a senior official said Thursday was necessary after the U.S. canceled a waiver to allow the joint venture.
The TVEL company said in a statement that Iran’s decision to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.