Search results

  1. dudus

    Miaka 3 ya Rais Samia Demokrasia imeimarika tukizishinda nchi zote za Africa Mashariki, Hongera sana Kwake!

    Maendeleo ya watu; vitu kwa ajili ya watu, sio watu kwa ajili ya vitu.
  2. dudus

    Miaka 3 ya Rais Samia Demokrasia imeimarika tukizishinda nchi zote za Africa Mashariki, Hongera sana Kwake!

    Dimokrasi haileti ugali mezani! Walisikika wengine wakihubiri kwa nguvu zote!
  3. dudus

    A BRAZILIAN DRUG TRAFFICKER Serving A 73 Years Sentence Tried to Escape from Prison

    Hii habari mbona imechelewa sana kutufikia since 2019? Unless imo kwenye Uzi mwingine. "He hung himself 3 days later"; lilikufa? Haya ndio aina ya majitu yanayoiharibu dunia; similar to terrorists!
  4. dudus

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Teh! Wewe ndiye hukuelewa toka mwanzo. Kilichokuwa kinajengwa ni standard gauge railroad (SGR) na sio high speed railroad (HSR) ! Mjifunze ku-read between the lines kauli za wanasiasa.
  5. dudus

    Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    Ambacho hakiko wazi jinsia ya KE imeahidiwa nini baada ya maisha ya dunia hii! Au ndio huenda kugeuzwa bikra za kuwahudumia ME?
  6. dudus

    Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

    Jenerali Mabeyo anaielewa, anaifahamu, aliapa kuitunza, na ameitunza vilivyo Katiba ya JMT. Kwa hili Jenerali Mabeyo apewe maua yake!
  7. dudus

    TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Wametorosha au wamechepusha? Dah!
  8. dudus

    Pemba: Tani 4 za tende na tani 20 za Mchele usiofaa kwa matumizi ya Binadamu vyateketezwa

    Mbona hii habari ya "mauwaji" haija-trend kama zile "laana" zilizotupiwa the fortified food toka Marekani kwa ajili ya maelfu ya watoto maskini huko Dodoma kupata lishe na kuwaongezea uwezo wa kufikiri? Uko sahihi, HQ ya unafiq duniani ni Bongo! Lucifer na genge lake waende Bongo kujifunza...
  9. dudus

    BARABARA KUTOKA CAIRO EGYPT--to--Capetown South Africa: HAPA TZ INAKATISHA MIKOA IPI?

    Kwani ipo? Nachokumbuka lilikuwa wazo la mkoloni mmoja, Cecil Rhodes, kama sijakosea kwamba ijengwe. Haikuwahi kujengwa zaidi ya za kuungaunga kati ya nchi na nchi.
  10. dudus

    BARABARA KUTOKA CAIRO EGYPT--to--Capetown South Africa: HAPA TZ INAKATISHA MIKOA IPI?

    Ndege zipo; meli zipo; why barabara au reli ambazo ni hatarishi? Hapo Sudan utapita? Ethiopia? Nchi zote maporini kuna kila aina ya vikwazo including hali za hewa za kila namna, machafuko, nk. I don't buy that idea!
  11. dudus

    Gaidi la HAMAS lajaribu kutijoa uhai kwenye gereza Israel

    Actually najua IDF hawawezi kuwalisha bure hao nguruwe! Hadi wameliokoa kuna benefits wana-gain from them.
  12. dudus

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    Hali nzuri ya mwili na akili! What does it mean?
  13. dudus

    Korea Kaskazini yawataka raia wake wafuge mbwa kwa ajili ya nyama

    Ufugaji mbwa kwa ajili ya nyama! Ha ha ha! Makafir kweli hao! Hata watani zetu kule Uhehe walishaacha hizo mambo.
  14. dudus

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    FURAHA! Nini maana ya furaha?
  15. dudus

    Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

    Mleta mada kuna ujumbe anataka ku-convey! Read between the lines.
  16. dudus

    Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

    Kama kwa imani yao kama ilivyokuwa kwa Kibwetere wameamua kutoana kafara who cares? Ondoka kwenye hilo dhehebu to be safe! Shida inakuja pale vichaa kwa mwavuli wa dini kutaka kulazimisha wasiohusika wafuate dini na miungu yao! Don't you see the difference?
  17. dudus

    Gaidi la HAMAS lajaribu kutijoa uhai kwenye gereza Israel

    Litakuwa limepatwa na depression ya kutisha na mauzauza kibao; the best option was to commit suicide! By the way kama gaidi limeamua kujimaliza lenyewe bila madhara kwa wengine wangeliacha liondoke salama kupunguza gharama za kulilisha.
  18. dudus

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Sheikh Amri Abeid unaupanua vipi mzee uwanja wenyewe umebanwa kila upande no even a single inch ya kuupanua?
  19. dudus

    Siku ya Mwanamke: Bi. Mwamtoro bint Chuma wa Mtaa wa Kariakoo

    Na ndio maana katamka kwa yakini uchaguzi ule wa 1970 kura ya Bi. Mwamtoro bint Chuma (of course na wapiga kura wengine) ilienda kwa Mwl. na sio vinginevyo. There were no choices!
Back
Top Bottom