Search results

  1. AKASINOZO

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    haya majamaa ukiyaona pre season unaweza kudhani yanatimu kubwa kumbe mashati tu
  2. AKASINOZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    heko OG
  3. AKASINOZO

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    asernal fans ni mwana uvccm mzuri amegoma kutumia Vpn ya mabeberu
  4. AKASINOZO

    Kweli leo nimekoma

    Sehemu ipi hiyo chief
  5. AKASINOZO

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mashabiki wengi wa manyuu sijui ni ccm? Naona wamegomea vpn ya mabeberu
  6. AKASINOZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwan uongo kwel una roho mbaya
  7. AKASINOZO

    National Institute of Transport

    Duu kijana hata sem moja hujasoma ushataka kufahamu mishiko ? Usichanganywe na road au railway ni kama logistics nyingine tuu
  8. AKASINOZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Yet another cleansheet for mendy
  9. AKASINOZO

    Maeneo yanayoongoza kwa bodaboda Tanzania

    Arusha nako hawako mbali huku zinaitwa TOYO
  10. AKASINOZO

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mmekuwa barid sana jamaa kawakomesha yale ma analysis hakuna hawana bando waka access ya net
  11. AKASINOZO

    Nina 70,000 niifanyie nini

    Nilitaka kusema hivi juzi nilikuwa moshi jamaa anauza sahan ya matunda kwa buku2 ila unakula unashiiba unatoa ela yako kwa amani kabisa natamani nikirud nimwone tena
  12. AKASINOZO

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Mh Mgombea wa kiti cha urais alikuwa akitoa amri kuwataka wamletee mgombea flani mda mwngine kwa jazba wakati wa kampeni hapo ndo mlipopotoka. Kwa jicho la tatu zilikuwa zinaenda moja kwa moja kwa wateule wake Nec wakurugenzi ,Polis n.k Majibu mmeona
  13. AKASINOZO

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii lig imesusiwa make gemu zake ziko gizani
  14. AKASINOZO

    Rai yangu kwa CCM na wanachama wa CCM

    Hakika Dubai na Califonia zilizoaidiwa tutaanza kuziona kwani upinzani ulikuwa keroo
  15. AKASINOZO

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wazee wa kusafisha vitanda na kufua mashuka mpoo bada vidume kupiga mechi safi kabisa jana Fueni mashuka vizur tunarud j4 naj5 kupiga mzgo tena
  16. AKASINOZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bado kidgo sina iman na lampard
Back
Top Bottom