Search results

  1. Alfred

    Mpaka Tuelewane Mwaka Huu!!!

    Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri
  2. Alfred

    Bashungwa: Zinahitajika Bilioni 500 kujenga Barabara zilizoharibiwa na Mvua za El-Nino

    Comments zinaonesha kabisa ni kiasi gani watu hawana ufahamu na haya mambo!
  3. Alfred

    Video: Nilidhani mabonge siyo wezi ama vibaka.

    Bila shaka hii ni Sauzi!
  4. Alfred

    Milioni 8 yako itakupa milioni 20 kwa mwaka mmoja !!

    Tungetajirika sana.. yaani!
  5. Alfred

    Iran yaishambulia Israel, sarafu yake yaporomoka kwa kiwango cha ajabu

    Utasikia ndugu zetu katika imani wanakuja kulia humu!
  6. Alfred

    Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Uzi ungeuweka hivi: Vijana mkitaka maisha ya kawaida yanayokaribiana na umasikini tafuta Check Number. Bahati mbaya sana hizo kazi zote ulizotaja ziko Halmashauri hakuna hata take home ya 800K, Yaani hauingizi hata 30K per day. Kwa udereva usichukue sample space hio moja yenye safari nyingi...
  7. Alfred

    Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

    Israel seems yuko zaidi ya serious na hili jambo..
  8. Alfred

    Picha za watoto wa kiongozi wa hamas Ismail Haniyeh Waliouawa

    Hili Pigo sasa limeingia kunako kwa kweli, Bibi hatanii!
  9. Alfred

    Natenyahu akubaliana na kilichopo mezani

    Nafikiri hoja yako ikite kwenye nchi yetu, Kwenye Nchi za wenzetu especially Israel na Palestina.. maneno yako ni Dua za Kuku!
  10. Alfred

    Natenyahu akubaliana na kilichopo mezani

    Wakuu mnapoteza Muda na mambo ambayo sisi kama Tanzania hatuna impact, wacha wao waparuane.. Mwisho wa siku tutajua mshindi.
  11. Alfred

    Wanaume mnakera sana

    Pole sana mama
  12. Alfred

    Ayatullah Khamenei: Israel itazabwa kibao usoni

    Hakuna wa kumgusa Israel
  13. Alfred

    Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    Iran hata miaka 1000 ijayo Iran haezi mpiga Israel.
Back
Top Bottom