Search results

  1. R

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Daah, ful kutupwa Lyamungo....
  2. R

    Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012

    Skul nyingine za private wana wiki 2 sasa shuleni... Alaf kuchelewesha hivi ndio kunasababisha uchakachuaji...
  3. R

    Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012

    History ndio imeangusha raia, na business mwaka huu ilikua balaa sana, ngoja tuone tunatupiwa wapi maana www.moe.go.tz kwa sasa haipatikani hewan...
  4. R

    majina ya waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano 2012 yanatoka lini?

    Hio ni kweli kamanda, kuna raia tumesoma nao wamepiga 2 wazee wao wameona ku wait selection ni noma bora wawa peleke private....
  5. R

    majina ya waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano 2012 yanatoka lini?

    Apa ni amani tu wakubwa, tusitoke nje ya topic.... Kama kuna anaejua yanarushwaga wapi na yanaweza toka lini tuambizane tu.....
  6. R

    majina ya waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano 2012 yanatoka lini?

    Daah, wa tz tunashida... Sasa ww unaona ni nn alafu unauliza, ww ni m2 mzma bana ucjifanye mtoto, kama nimekosea c uniambie arif.....
  7. R

    Kwa waliofeli kidato cha nne.

    Kama ni zero ku re-sit inakuaga shughuli sana kufaulu kwani wengi hupata 4 na 0 tena na wachache sana 3, kwaio ni bora kuingia katika taaluma nyingine kama veta na vyuo kama hivyo
  8. R

    Free overnight airtel internet!

    Wenye BB inakuaje....
  9. R

    majina ya waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano 2012 yanatoka lini?

    Aisee, watu wamechoka maisha ya kitaa, majina ya wanaopangiwa hurushwa wapi na lini yanaweza toka maana shule za private wameshaanza kufungua......
  10. R

    matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani

    Unajua Mtu mwenye hekima huongea akiwa na kitu cha kuongea, lakini mpumbavu huongea kwa sababu anataka kuongea.... Kwaio kama huna cha maan cha kuongea bora unyamaze...
Back
Top Bottom