Search results

  1. S

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Asilimia 100%. Ni sisi wananchi tumetoa.
  2. S

    Tuwe wakweli, kila mwanamke ana utamu wake

    Alafu wapaka mate ndio wakwanza kujisifia. Utakuta jitu limekupaka mimate, afu linatwanga tu hata halijui kukoroga linakuuliza baby umeinjoi? Woooi! Nyie wanaume nyie, sema tunawastahi sana!
  3. S

    Dada zetu wa humu Mijini kwanini siku hizi wengi wenu mnapenda kujifungua kwa kupasuliwa tumboni na hampendi ile njia ya kawaida?

    Hii mada huwa inaniumiza na kunikwaza mnoo! Sidhani kama kuna mwanamke anapenda kujifungua kwa upasuaji. Complications za uzazi ndio zinasababisha daktari akufanyie operation ili kuokoa maisha ya mama na mtoto. Mfano mimi mwenyewe hapa nina watoto wawili wote nimejifungua kwa upasuaji. Kabla...
  4. S

    Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

    Ajira zipo nyingi serikalini, kwenye makampuni ya ujenzi pia ni rahisi kuanzisha kampuni yako tofauti ta field zingine. Kifupi construction industry inakuwa kila siku. So huwezi kushindwa kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe.
  5. S

    Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

    Ajira zipo nyingi serikalini, kwenye makampuni ya ujenzi pia ni rahisi kuanzisha kampuni yako tofauti ta field zingine
  6. S

    Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

    Kasome field zinazohusika na construction industry, mfano civil (structucture) engineering, architecture au interial design
  7. S

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    Bado kipo? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Mnisaidie hili Please: Hawa wadudu wanataka kunihamisha home kwangu

    Dawa za kutokomeza panya mmnazo? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Wazazi tunatengeneza kizazi cha hovyo sana cha baadaye

    Kwanini unamnenea mabaya mtoto asiye na hatia yoyote? Hii ndio hekima ya kizazi chako unayojivunia?? So sad!
  10. S

    Viwanja kigamboni kwenye showrooms za magari

    Vina ukubwa gani?
  11. S

    Natafuta mume mwenye VVU

    Kwahiyo wewe umejihakikishia kuwa hutowaacha watoto yatima?
  12. S

    Natafuta mume mwenye VVU

    Wewe unajua utaishi miaka mingapi? Be careful unaweza ukatangulia wewe mkuu!
  13. S

    Nikiambiwa nichague kati ya mwanaume mzee wa miaka 70 na kijana mnene nachagua mzee

    Ukiona hivyo ujue unawapa maumivu sio starehe tena. Kifupi bado hujui kufanya mapenzi. Ungekuwa unayaweza basi ungekimbiliwa sio kukimbiwa. Pole.
  14. S

    House4Sale Nyumba Inauzwa

    Yaani mtu anatangaza biashara alafu anaificha, hata bei haweki. Kwakweli mimi matangazo kama haya huwa nayahusisha na matapeli moja kwa moja.
  15. S

    Natafuta mchumba

    Umri kuanzia miaka 25 mpaka mingapi?
  16. S

    Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

    Una ushahidi na hili? Be carafully!
Back
Top Bottom