Search results

  1. kichomiz

    Tanzania ni namba 2 Afrika kwa kuwa na mifugo mingi ila haichangii chochote kwenye uchumi. Serikali anzisheni tozo ya mifugo

    Bila shaka wewe ni mgeni ndani ya nchi hii,serikali hii hii iwaachie wazawa bila kuwakamua?hebu Rudi kafanye homework yako vizuri
  2. kichomiz

    Ni muda muafaka Afrika Mashariki kuwa taifa moja lenye Rais mmoja na Serikali moja

    Hakika mkuu ,uroho wa madaraka ,wizi ,umimi haiwezekani kabisa
  3. kichomiz

    Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

    Huyu ni mwehu kabisa ,anatakiwa aswekwe hata ndani ili kumtia adabu , na anadhani anaweza kumdhibiti mwanaume kwa kutukana?
  4. kichomiz

    Vibali vya ujenzi kwenye maeneo ya squatter

    Hii njaa imeleta matapeli wengi sana , 200,000 unawapaje wapaje yani?
  5. kichomiz

    Hili jambo linanigharimu sana

    Na inatesa watu wengi bila kujua, wengi wanasingizia kurogwa ,kumbe wamejiroga wenyewe na wanaendelea kujiroga
  6. kichomiz

    Hili jambo linanigharimu sana

    Hiki ulichokiandika wengi hawatakuelewa ,ila ujumbe wako ni muhimu sana
  7. kichomiz

    Neo wazalisha battery ya gari inahimili kilometres 1000+

    Hatari kama betri tu bei ghali kiasi hicho je gari yenyewe je?
  8. kichomiz

    Neo wazalisha battery ya gari inahimili kilometres 1000+

    Betri unapata mkoko wa maana na mtaji juu kibongo bongo
  9. kichomiz

    Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

    Muulize aliyeweka chati,au hujaona ila umeona post yangu tu?
  10. kichomiz

    Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

    Tunazidiwa na Rwanda isiyokuwa na rasilimali ,halafu unajisifu kweli?
  11. kichomiz

    Mwaka umeanza vibaya. Inauma ila hamna namna.

    Visingizio ni vingi sana
  12. kichomiz

    Usifukuze.. Vutia

    Maneno ya busara kutoka kwa Mshana
  13. kichomiz

    Biashara za Kitanzania ni za ajabu sana

    Wafanya biashara wa bongo wanataka faida ya %1000
  14. kichomiz

    Hapa ndipo watu wanapoteana

    Hii inaendeshwa na operator wawili
  15. kichomiz

    Manyara: Marekani yachagia mchango wa Dola laki moja kwa maafa ya Hanang

    Hii hii ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake?
Back
Top Bottom