Mkuu mwenye uelewa amekuelewa hakuna state security aliye mzembe hivyo they are full of techniques
Tunawasubiri tu hao. Malawi wafanye ujinga wao. Ngerengere mazoez tuendelea kufanya
Mkuu mr Mtui na Hute nimewapata vema sana. Lengo langu si kuwatisha au kuwataka ubaya wowote hapana lengo langu ni kwamba watu watambue humu jf tupo watu wa kada na itikadi tofauti hivyo mtu avyoamua kuelezea taaluma ya mwingine ni vema akazingatia heshima ya kazi husika
Nitake radhi ndugu mi si mvuta bange!!
Niliomba mtu alihitaji kujua kuhusu komandoo na mshahara wake na kuhusu vyeo vyao aje pale lugalo kesho ili nimpe full detail za jwtz command unit B5kj 94 ngelengele afu alete mrejesho humu ndani baada tu ya kukutana nae kesho!! Hvyo tu...nidhamu ipo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.