Search results

  1. L

    Nilifanya mapenzi kinyume na maumbule 2016, mwaka huu imemfanya mchumba wangu kuniacha kabla ya ndoa!

    mwelevu hujifunza kutokana na makosa ya wengine. mjinga hujifunza kutokana na makosa yake mwenyewe. akili zako umeshikiwa na jirani. jifunze kutumia akili zako mwenyewe
  2. L

    Wafanyabiashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭

    1. badilisha duka kwani kkoo kuna maduka mengi sanaa 2. acha kupenda kulala. damka asbh nenda kkoo ukakutane na wateja huko acha kulalamika chukua hatua,
  3. L

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    asante kwa story yenye funzo. ushauri wangu achana na mercy usije ukamuoa.
  4. L

    Serikali ipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi

    kwa hiyo unataka wenye miaka zaidi ya 50 tulioko ofcn tuhamie mtaani ee. halafu watoto wetu utahhudumia wewe. hebu shika adabu yako
  5. L

    Natafuta soko la kuuza mifugo yangu

    sema uko mkoa gani. na kuku kwa jumla unauzaje
  6. L

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    STORY NZURI SANA NA INAFUNDISHA. ACHANA NA WAJUAJI TUPE UHONDO...........
  7. L

    Nakaribia kudhulumiwa, naombeni ushauri

    Jua jina lake kamili, then nenda makao makuu ya jeshi kamshtaki. nawe utapangishaje mwanajeshi? pole sana
  8. L

    Upasuaji wa bawasiri

    ungetaja jina ingesaidia wengi
  9. L

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    hatari na nusu
  10. L

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Nipeni pole mwenzenu
  11. L

    Wazoefu kwenye mahusiano naomba mnisaidie

    hap o kubali umeachwa. jaribu kufanya haya 1. nenda mbali na eneo analoishi ikiwezekana nenda mkoa mwingine 2. jaribu kutokumuwazia 3. jichanganye na marafiki wengine 4. sikiliza muziki usipende kukaa peke yako 5. ongea na mtu mzima unaemuamini utapata nafuu ya moyo 6. badili namba yako ya simu...
  12. L

    Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

    kuwa pole sana japo umetapeliwa kijinga. funzo kwa wengine ni kuwa .... mtu akikwambia yuko taasisi fulani uliza jina lake. piga simu kwenye taasisi hiyo waulize kama wanamtambua mtu huyo. ukipata uhakika endelea na mpango wako. (simu za taasisi nyingi zipo kwenye mtandao)
  13. L

    Akili yangu imetekwa na kamari

    neda UTT weka hela huko utakuwa unakuza mtaji kwa njia ya kurusha kwa kutumia mitandao ya simu. itakusaidia kutokukaa na fedha taslimu hivyo itakuepusha na kishawishi cha kucheza kamali. pia epuka mazingira/marafiki wanaokushawishi kucheza kamali
  14. L

    Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    zanzibar kulala hoteli kwa siku 1 sio chini ya 150,000 jiandae vzr
Back
Top Bottom