Search results

  1. Mr kilaja

    Natafuta nafasi ya kujitolea sector ya Geology

    Nimehitimu Bsc in petroleum geology,natafuta nafasi ya kujitolea migodini au sehemu yoyote inayohusu geology
  2. Mr kilaja

    Halotel acheni wizi wa kukata Tshs 50 kwenye vocha

    Kuna wizi mpya haloteli wamekuja nao.Wanakata sh 50 mpaka sh 100 kila unapoweka vocha, halafu ukipiga huduma kwa wateja hawapokei simu au wanakublock. TCRA wapo lakini wizi unafanyika. HALOTEL ACHENI WIZI
  3. Mr kilaja

    Udom watoa schorship za master

    Udom watoa schorship za master kwa watu wa engneering,science na business.GPA kuanzia 2.7,zaidi angalia kwenye attach hio [emoji116]
  4. Mr kilaja

    Msaada: Simu ya sumsung inaji restart

    Habari, nina simu ya sumsung hapa toka niupdate adroid 10 inajirestart bila sababu, je, tatizo ni nini na linatatuliwaje?
  5. Mr kilaja

    Msaada: Naomba formati mpya ya mitihani ya necta kidato cha nne

    Kama kunavyojieleza hapo juu,naomba formati mpya ya necta form four na topics zake hasa kwa Maths, Physics, Geography, Chemistry na Biology Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mr kilaja

    Msaada: Nawezaje ku-renew ATM card nikiwa sikumbuki namba ya account yangu?

    Habari zenu. Niliibiwa ATM card juzi, lakini namba ya account nilikuwa sijai-save. Nawezaje ku-renew ATM card? ATM card ni ya CRDB Bank.
  7. Mr kilaja

    Msaada, pc yangu feni inasumbua

    Pc yanguu inatatizoo nikiwasha feni inazunguka afu inakata lkn kweny screen aioneshii,ttz ninii wakuu??
  8. Mr kilaja

    First year UDSM wapewa pesa pungufu za boom

    habari zenuu,wanafunzii wa mwakaa wa kwanza wachuo cha udsm wapewa boom zilee za asilimia sioo laki 710 kama ndalichkoo halivyosemaa,mfanoo mwingnee kapewa lak4,mwingne laki 6
  9. Mr kilaja

    Mwenye uelewa kuhusu CoNAS UDSM

    Habarii zenu wakuu,nilikua naomba mnielezee kuhusu conas,pia kuna changamoto zp,nimechaguliwa hpo petroleum geology, asante
  10. Mr kilaja

    Mwenye uelewa kuhusu CoNaS-UDSM

    za asubuh,mwenyew uelewa wowotee na CoNas naomba anisaidie je kunachangamoto gani pia naweza kuzikabilj vp hasa kwenye department ya geology????
  11. Mr kilaja

    Eti kutojua English ni sababu ya kufeli chuo?

    Za asuhuhiii, Nimekua nimesikia mijadala mingi humu jukwaani kuhusu hiyo lugha ya malkia, sasa nilikua naomba ufafanuzi, je kwa wale wa sanyansi hii lugha ni shida je kinaweza kua chazo cha kufeliii chuo au????
  12. Mr kilaja

    Naomba ufafanuzi kuhusu hii ya Kozi ya Petroleum Geology

    Nilikua nauliza kuhusu kozi ya Petroleum Geology, inahusikaa na nini pia ajira zake, Na je kozi hii inafungamana na Petroleum Engineering?
  13. Mr kilaja

    Naomba kufahamu watu wa petroleum geology wanahusika na nin???

    za asubuh wa wakuu,nilikua naomba kufahamu hio koziii inayotolewa udsm,pia inatofauti ganiii na petroleum engineering,
Back
Top Bottom