Search results

  1. H

    Msaada: Nahitaji kujua kiwango cha ada kwa vyuo vya Diploma vya Serikali

    Kwa anayejua ada za vyuo vya ualimu wa Secondary kwenye vyuo vya serikali ngazi ya diploma anisaidiae. Tafadhali karibuni
  2. H

    Msaada

    Habarini ndugu wanaJF. kwa anayefahamu gharama za hivi vyuo vya vya clinical officer vya serikali naomba anijuze (Amo Training centre Mbeya,Lindi clinical officer na sumbawanga clinical officer training centre.
  3. H

    Msaada: Anaomba mfadhili wa kumlipia Ada ya kusoma Udaktari

    Kuna kijana wa kiume amechaguliwa kujiunga na mafunzo ya udaktari ngazi ya diploma, anajua vizuri kingereza na matumizi ya kompyuta. Ila ana shida kwani hana hata hizo pesa za kujiunga na chuo husika. Anaomba udhamini watanzania ili aweze kukamilisha hili, hata kwa baadhi ya makato baada ya...
  4. H

    Biashara ipo sokoni kwa sasa.

    Nina laptop hp elitebook 8440p,inatatizo la motherbod nauza kama spare kwa yule atakayehitaji!mafundi wale wa computer inawahusu .Ni core i 5,Ram 4 hardisk 320 na adapter yake ipo .Inamwaka mmoja tu.mwasiliano 0759 685263.
Back
Top Bottom