Search results

  1. DAFU NA NDIMU

    Nahitaji kukopa fedha

    Habari zenu wakuu. Naomba kama kuna mtu au kikundi kinaweza kunikopesha sh. Laki 5 kwa riba anijuze tuwasiliane. Niko Dar es salaam.
  2. DAFU NA NDIMU

    Whatsup group ya walimu

    Wakuu, polen kwa majukumu. Naomba kuunganishwa na group la walimu wa kiingereza ili tusaidiane kulijenga taifa letu. Asanteni
  3. DAFU NA NDIMU

    Weka neno lako hapa lishughulikiwe

    Wanajamvi, habari zenu kwa mpigo! Kuna kitu kimenishtua leo. Nilichungulia mkutano wa CCM Dodoma na kuona Hamfrey amechangamka sana ukilingalisha na wajumbe wengine. Nikaandika polepole (kwa kiingereza) amechangamka. Baada ya muda nimeona neno slow slow limebadilishwa na kuandikwa Polepole...
  4. DAFU NA NDIMU

    Rais Mugabe asema atagombea urais hata akiwa marehemu

    Wanajamvi habari zenu. Robert Mgabe (92) Rais wa Zimbabwe, ametangaza nia ya kugombea tena kiti cha urais nchini humo. Mkewe (50+) amenukuliwa akisema mumewe ataiongoza Zimbabwe hadi atapokufa. Mke huyo ameongeza kuwa yupo tayari kumsukuma mumewe kwenye kitoroli kokote aendako ilimradi tu...
  5. DAFU NA NDIMU

    Mwisho wa mwaka huu, uwe ni mwanzo wa baraka kwetu

    Habari wana JF wenzangu! Najua tunaendelea na maandalizi ya sikukuu vema kabisa. Napenda kutoa wito kwenu ndugu zangu kuwa Tunapoelekea kusherehekea sikukuu hizi, tujiepusha na matendo mabaya/maovu(dhambi) Matokeo ya dhambi ni laana kwa mtenda dhambi,kizazi chake(3&4), nchi yake, n.k...
  6. DAFU NA NDIMU

    Wazazi tuwe makini: Mahusiano ya watoto wa kike

    Habari wadau, Kuna kisa kimemkumba mwanafunzi wa kike kidato cha kwanza shuleni kwetu na nimeona si vibaya wanajamvi mkakisikia pia. Shule yetu ni ya kutwa na ni ya wavulana na wasichana. Kama kawaida ya wanafunzi hujenga urafiki na wenzao kutokana na vionjo vyao. Ikatokea wanafunzi wanne...
Back
Top Bottom