Search results

  1. J

    Msaada wana JF

    Ninashukuru mkuu ngoja nijaribu.
  2. J

    Msaada wana JF

    Nina simu yangu samsung gt c3212. Je ina uwezo wa kutumika kama modem kwenye pc yangu? Kwani nimejaribu ku install pc studio 3.2 lakini inashindwa kutambua.kama ndio hatua/vitu vipi vya muhimu?ahsante kwa msaada wenu.
  3. J

    Multiple choice questions - ktk mtihani wa maths std seven 2011

    Ahsante kwa mada. Wanajenga kizazi kisichoweza kufikiri kwa kina,kizazi kinachojengwa ni chenye uwezo mkubwa wa ku-guess.Hatari sana na inasikitisha.Ni matokeo ya kuwa na viongozi dhaifu wa kufikiri.
  4. J

    Je! Wajua.......?

    kutakuwa na jibu moja tu: sqrt ya 16 ni 4 na sqrt ya 9 ni 3.Hivyo 4-3=1. +/- zinakuwa applicable wakati una-apply sqrt kila upande wa equality sign when solving for a variable. Upoooo!!!!
  5. J

    Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

    Jackson k Mawazo ya kwamba unywe piriton ni ya upotoshaji.Kwa dozi gani? Hadi lini? Mimi ninafikiri onana na daktari face to face ili umweleze kwa kina na utakusaidia tiba inayostahili,kwa dawa,vyakula au ushauri.
Back
Top Bottom