Search results

  1. Truth Teller

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Vituo vyote vikubwa vya polish unavyovijua wewe kwa hapa dar au nje y dar wanauza pikipiki. Kwa kuorodhesha. Polisi kiluvya gogoni Polisi stakishari Polisi ostebay Polisi central Polisi kibaha Polisi buguruni Polisi mabatini K/nyama Polisi Tazara hapo ndiyo Kama sagulani NB: Kuna kuwaga na...
  2. Truth Teller

    Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

    Mtumie WhatsApp yako huwa anajibu chap bila mbambamba. Ukiendeleza naye sms mwisho wa siku utajikuta una view status zake.
  3. Truth Teller

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Kati ya usafiri ambao hauna risk naweza kusema boda boda. Boda n umakini wako dereva tu. Ukiona huwezi kupita main road unaweza kupita service road. Kwani Kama ukipita high way na ukafuata Sheria utapata changamoto gani? Mf kwenye mataa ukasimama na kwenye kuendesha ukakaa Lane yako hapo huwezi...
  4. Truth Teller

    Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

    Kanisani kwao kila mtu Ana ndoo na kitambaa. Ratiba zao za ibada muda wa kutoka ni ukakasi. Nenda temboni katikati ya week utakuta saa 7-9 usiku mnene watu ndiyo wanatoka kanisani. Kama wanga vile na mandoo yao
  5. Truth Teller

    Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

    Wewe nabii wako si kuhani mussa wa temboni? Yule anayetumia ndoo na kitambaa kutambua wachawi na watesi wenu? Na wewe umepotezwa naye.
  6. Truth Teller

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Boda boda mpya 1lt inapiga 50Km Ikishakuwa chakavu inapiga 35-42Km Ukienda kuibana cableta inapiga 55-60Km Kwa rate hiyo mtu unaweza kukaa bunju na kufanya kazi kariakoo kwa Lita 1 tu go and return ambayo ni 3200 per lita. Kwa common sense kutoka bunju had kariakoo huwezi kumkosa abiria hata 1...
  7. Truth Teller

    Tuzitambue Wilaya maarufu kuliko mkoa hapa

    Kibaha siyo kweli. Kibaha ni sehemu ambayo wengi wanajua ipo dsm Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  8. Truth Teller

    Huu ni udhalilishaji mkubwa kwa Dini za Kikristo. Clip Kutoka madhabahu ya GeorDavie

    Yote hayo yalitabiriwa. Huwezi kuvunja/kuzuia unabii na sharti la unabii lazima utimiee. NB:MUNGU ANAWAJUA WALIO WAKE. Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  9. Truth Teller

    Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

    Airtel SME kipoje hicho? Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  10. Truth Teller

    Juma Thomas Zangira: Mtanzania wa kwanza kushtakiwa kwa kosa la Ujasusi (Espionage)

    Siku hizi anapiga ndondo pale mbezi-dodoma Na kigari chake Cha mtumba Toka UK. Ubishoo bado hajaacha Hadi Leo. Ila haipiti week bila kuchukua abiria pale Mbezi-dom Dom-mbezi Maisha haya.. Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  11. Truth Teller

    Wapi nitapata magari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha kwa muda wa usiku

    Yeah mbezi,utakesha Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  12. Truth Teller

    Wapi nitapata magari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha kwa muda wa usiku

    Nenda bunju Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  13. Truth Teller

    Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha sana

    Huyo hajaokoka,kajificha kwenye kichaka Cha kuokoka. .Binti aliyeokoka seriously hawezi kusema anataka kuja kwako muishi pika pakua.
  14. Truth Teller

    Umepiga ‘Kenchi’ kweli, au Umepigwa? Hivi ndivyo Wateja wa Mbao wanavyotapeliwa Mitaani

    Oli chafu pekee haifai na kutosha, solution ni Oil chafu una mix na petrol Hapo Tanalith C ikasome
  15. Truth Teller

    Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

    Hakuna chuki ila n ukweli. Huyo tapeli wa Zimbambwe ni gold mafia mkubwa sanaa, ana kesi nyingi za utakatishaji fedha nchini kwao. Mwisho kabisa, tumepima na kupambanua roho iliyopo ndani ya kapola na jawabu ni kwamba, si roho ya Mungu wa kweli.
  16. Truth Teller

    Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

    Ni tapeli m1 hivi mjini. Ana mafungamano ya huduma yake na tapeli wa Zimbabwe ambaye ni mtakatishaji fedha maarufu sanaa
  17. Truth Teller

    Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

    Hii si,kweli. Wapo waliobarikiwa na hakuna laana. Na wapo wenye utajiri mkubwa pasipo ku mix na mambo ya kishetani Zingatia. BARAKA ZA MUNGU HAZINA MAJUTO.
Back
Top Bottom