Search results

  1. KweliKwanza

    Natafuta Tv, budget yangu 1.5m, au 2m kwa Tv kali sana

    Iwe na hivi vitu -4K -120Hz(fps) -55'/65' -HDMI 2.1 Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
  2. KweliKwanza

    Matumizi yangu October

    Wote tuna misalaba tunayoshindwa kuitua
  3. KweliKwanza

    Nina 1.3m, natafuta ps5

  4. KweliKwanza

    Kama Vera Sidika kawa hivi, mpango ushafeli

    Asitegemee madili makubwa makubwa kumfata, hakuna kitu kinaitwa kuwa na nyota, kuna mpango, ama ikufate moja kwa moja au uifate!
  5. KweliKwanza

    Balozi wa Ukraine UK: Putin ni muoga na ameshindwa vita ndo maana anatoa Vitisho vya Nyuklia

    Mengine kasema Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha Kasema misaada wanaitumia vizuri Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa nyingine hushuka ambapo hamna athari yoyote Kasema viongozi aina ya Putin ni watu waliolewa madaraka na...
  6. KweliKwanza

    Matumizi yangu August

    Kwa wanaouliza app inaitwa 'Spending' Na unaweza kuweka mapato pia na mwisho ndani ya mwez ukajua kama umeingiza au umekula mtaji Kuna msemo "Biashara bila Budget utawalalamikia wachawi na chuma ulete"
  7. KweliKwanza

    Matumizi yangu July

    Sehem kubwa ilienda kununua cm, na kumnunulia mpnz wng cm pia
  8. KweliKwanza

    Matumizi yangu Juni

    Apo nimeweka tu ila forex imechukua sehem kubwa ya matumizi mwezi huu Mtu mwenye upeo anaweza jua mimi ni mtu wa aina gani, labda -kwenye matumizi yangu hakuna sehem ya sadaka, ko sijaenda kanisani mda
  9. KweliKwanza

    Matumizi yangu yote ya mwezi June

    Wanasema unaweza kumsoma mtu kupitia matumizi yake, twende kazi
  10. KweliKwanza

    Tusijifanye madaktari wakati proffession zetu sizo

    Kama we ni kiongozi baki kiongozi, kama ni daktari kuwa daktari, kama wakitaka kutuua wanaweza kutumia ata chanjo ya Tetenas au Chanjo ya surua maana dawa kama zote tunategemea nje.
  11. KweliKwanza

    Natafuta fundi wa AC wa subaru

    Habari wakuu Mwenye kujua fundi wa uhakika wa AC za subaru kwa mkoa wa Dar es Salaam naomba tusaidiane wakuu. Natanguliza shukrani
  12. KweliKwanza

    Tanzania among weakest currencies in Africa

    Why dont yhe government apply elimination of zeros Currently 1 usd =2300tsh After eliminating zero 1usd =230tsh Then our lowest will be 5tsh instead of 50tsh And our highest currency will be 1000 instead of 10000tsh
  13. KweliKwanza

    Wamasai kuwepo katikati ya mbuga ni hatari kwa wanyama

    Wamasai kama binadamu wana athari kubwa kuwa katikati ya mbuga za wanyama Kwanza wanapenda kuua simba ambapo ni moja kati ya mila zao. Na simba ni mnyama anayevutia watalii kwa asilimia kubwa. Pia simba hupungua mbugani kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba miaka 100 ijayo wanaweza kubaki hamsini au...
  14. KweliKwanza

    Ushauri jaman

    Hizi dawa ni za nn Sent using Jamii Forums mobile app
  15. KweliKwanza

    Kero: Tozo kubwa inayolipwa na wananchi daraja la Kigamboni

    Calculations Mtu ana gar dogo, naishi kigambon, ila anafanya kaz bandalin au mjin tuseme, analipwa 800000# na kutokana na makato anapata 600000# ana familia pia Njia fupi ya kuwahi kazin ni kupita darajan Ok Kwa siku kwenda 1500# na kurudi pia, so kwa siku ni 3000# Kwa mwezi 90000# ( hii ni...
  16. KweliKwanza

    Natafuta mbwa aina ya German shepherd

    Natamfa mbwa aina ya German sherpherd long coart Na hivyo vyeupe Bei maelewano
  17. KweliKwanza

    Kumekuwa na ongezeko la wanaojifungua kwa upasuaji, nini tatizo?

    Wanawake wengi wamekuwa wakijifungua kwa upasuaji siku za hivi karibuni, sijui tatizo likowapi ila almost kila mwanamke sikuizi nikimuuliza anasema kajifungua kwa upasuaji, ni kuwa hulinda ladha ya papuchi zao au ni ulainilaini wa watoto wa mjini? Kuna jirani yangu hapa toto lilikuwa na shepu...
Back
Top Bottom