Search results

  1. Mr Kipago

    Car4Sale Lete milioni 6.8 nikuuzie gari IST ipo kwenye hali nzuri

    Kwani ukisema umepulizia rangi kuna shida gani? Nakupa 4.5
  2. Mr Kipago

    Sheikh Kipozeo atambulishwa rasmi WCB

    naitwa pastor kuria kutokea kanisa ra bruu spring nilikuwa man kush ni mungu aliniita, siombei watu mkikuja tunasali wote ukifanikiwa endaga :D:D
  3. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Natamani kuongea kila kitu ila ngoja ninyamaze Maskini Ontario kijana mwerevu amechezewa akili na msouth mwenye trick ya kuwatumia jp markets kuwaibia waTz ambao kijana alitaka kuwapa Financial freedom. Maoni yangu Ontario usirudishe pesa kwani yeye kapiga ngapi akikudanganya ni za broker...
  4. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Busara za Mr Kipago zidumu niliwahi kuwaonya na mchezo mchafu mnaofanyiwa. Nimefanikiwa kusoma case study nyingi kuhusiana na watu kupigwa na mentors wao pamoja na broker.
  5. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    was planned haikuwa kombolela kama ulivyotungwa, Kama hauna kazi ya kufanya sema uokoe mda na kuliko kuukalia uzi MMU wenzako
  6. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Malaya mama ako aliyekuzaa angeacha u-stripper usingezaliwa wewe kichwa nazi
  7. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    usinitag popote samahani sibishani na wapvmbavv
  8. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    TMT sio ya Ontario alikuwa tu mwenyeji wa Rea naamini Ontario akija kuna watu watakimbia humu, ukijaribu kukipa kichwa chako zoezi dogo ukaenda kwenye IG page ya Rea utaona kabisa yeye ni Jp Markets partner kwa hiyo hata yeye alipokuja tz alikuja kumtangaza broker. Na ninaamini huyu msouth...
  9. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Una uhakika alifanya hvyo? una uhakika kama alikopa pesa yake ipo Jp Markets? You don't have to generalize everything
  10. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Kama hii ndiyo point unayoitumia kumuita ontario tapeli nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri. Mimi naamini tumeonyeshwa tu upande mmoja wa shilingi mnamuamini sana huyo Rea??
  11. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Cha kuwashauri wote ambao pesa zenu zipo Jp Markets Kupitia TMT fanyeni hivi, Tumeni Complaints nyingi kwenda Financial Services Board wa SA hata kama pesa yako haijaibiwa ila ulikuwa client wa Jp Markets kutokea Tanzania tuma complaint ili kutilia mkazo hili swala kupitia hapa...
  12. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Maskini broker kawakimbia clients wake kiaina :D:D:D
  13. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Information gap ndiyo iliyosababishia haya yote mnaopenda kutafuniwa Kwenye forex kuna chain hii CLIENTS>>>>BROKER>>>>LIQUIDITY PROVIDER>>>>INTER-BANK MARKET Na niliwahi kuandika kwenye uzi huu kwa waliobahatika kuusoma kabla ya kuubadilisha kukwepa lawama za kukimbiza wateja Kutokuwa na...
  14. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Nakuonea huruma Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu
  15. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Maskini, nasikitika kusema hakuna unachokijua
  16. Mr Kipago

    Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    TMT wameifanya Forex ionekane utapeli kutokana na tamaa zao Siku 5 haziwezi kukufanya kuwa trader
  17. Mr Kipago

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Great minds never get trapped, what is this?
Back
Top Bottom