Search results

  1. Biashara Mtaji

    Ushauri; Nahitaji kujua ni king'amuzi gani kina ubora na gharama nafuu vya hapa kwetu Tanzania

    Kama swali lilivyo ulizwa, naomba msaada nina amini kupitia humu ntapata msaada mzuri wa ushauri. Kati ya vingamuzi hivi via 3 1. Azam tv 2. Sartimes tv 3. Zuku Tv Kipi kina ubora wa chaneli pia gharama nafuu, ushauri please.
  2. Biashara Mtaji

    Nahitaji Msaada please

    Habari za Jioni hii wana JF Kama kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni Mvulana mwenye umri wa miaka 32 nasumbuliwa na tatizo la kujichua yaani Kupiga PUNYETO. Nimeanza tatizo hili bado nikiwa shule ya msingi, secondary mapaka chuoni. Nimewahi kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye ni mpenzi...
  3. Biashara Mtaji

    Naomba msaada wa tatizo la kikwapa

    Nina umri wa miaka 23 sikuwahi kuwa na tatizo hili katika makuzi yangu huu ni mwezi wa tatu nasumbuliwa na tatizo hii, Kama ni usafi ninajitahidi kwani mpaka kwa siku nabadilisha na kuoga Mara 2 . Msaada kwa jukwaa hili na wana JF kwa ujumla member wote 1. Je nifanyeje kuepukana na hali hii...
Back
Top Bottom