Search results

  1. skull

    Pepa za Technician Tanesco utumishi

    Wakuu mwenye past paper za utumishi position ya Technician tanesco naomba aniweke apa
  2. skull

    Kujitolea kufanya kazi siku za wikiendi

    Habari wakuu, mimi ni mhitimu wa Chuo katika ngazi ya Diploma nikiwa nimesomea Electrical engineering Arusha Technical College. Nilikuwa naomba nafasi ya kujitolea katika viwanda au mashirika ya umma kwa nyakati za wikiendi, yaani jumamosi na jumapili ili niongeze ujuzi zaidi siku za katikati...
  3. skull

    Natafuta smartphone

    Nina 120k + simu hii Double line ya nokia unanipa simu gani? nipo Arusha
  4. skull

    Nafasi za Field Tanga au popote.

    Wakuu Nimekuja mbele yenu kuomba nafasi ya field katika kiwanda chochote Kipaumbele kikiwa Tanga mana kule kila mahali ninapakukaa, Ila kama itakuwa ni out of tanga na walau kuna Hata hela ya kula sio tatizo pia nipo tayari, Mimi ni mwanafunzi ktk Fani ya Uhandisi wa Umeme ngazi ya Stashahada...
  5. skull

    Ijuzeni namna nano au Micro GPS tracker zinavyokuwa inserted or planted kwenye mwili wa binadamu

    Wakuu nijuzeni namna Nano au Micro Gps tracker zinavyokuwa inserted or planted kwenye Mwili wa Binadamu, Maeneo gani haswa huwekwa Chip izi? Je ikawekwa inakuwa inapata source of power kutokea wapi? Na je ina toa Velocity au Exactly location on real time???
  6. skull

    I am Looking for Friends Who speak English

    Hello Friends, I live in Arusha I would like to get friends who speak English fluently, I am an intermediate user so i wanna boost my speaking Skills, I have friends out of my country and i always do communication with them, For now i need the friends who are nearby so that It will be easily to...
  7. skull

    Fundi umeme nipo Tanga

    Karibu sana waliopo tanga na Viunga vyake fundi umeme mbombezi napatikana Tanga, Nafanya kazi hizi -Ufungaji wa sensor zote kama zinazo control taa kujiwasha na kujizima wakati wa kupambazuka na giza kuingia -Nafunga CCTV camera -PIR sensor, Hii sensor ita detect uwepo wa mtu na kuwasha taa au...
  8. skull

    Fundi umeme wa Kujitolea Wikiend

    Wakuu Salama mimi ni mwanafunzi ktk chuo cha ufundi Arusha ( Arusha Technical College) nilikuwa natafuta nafasi ya kujitolea haswa siku za wikiend ili niongezee skills juu ya Fani yangu Nipo Mwaka wa pili Diploma Ya Electrical, Sifa nilizonazo -Nimepita VETA na Kupata Level two ktk Electrical...
  9. skull

    Arusha Technical College (ATC) Special Thread

    Wana ATC tunasema Skills make the Difference, Huu utakuwa uzi special kwa alumni na Currently Students katika Chuo chetu Makini cha Ufundi Cha Arusha, Sambamba tunawakaribisha Wote wanaotaka kujiunga na walio na ndoto za kusoma Katika College hii, Chuo cha Ufundi Arusha kilianzishwa mnamo...
  10. skull

    Laptop Cursor

    Wakuu nataka art mbalimbali ktk modifies hii cursor ktk laptop yangu kuna mtu nilimkuta ana cursor akisogeza kuna kapaka kanaifata je ni software gani izo
  11. skull

    Nimekwama apa

    wakuu niko na equity bank sasa imekuwa impossible kabisa kulink hii card na paypal .sijapata verfication code mpaka ninavyoandika ujumbe huu ni wiki sasa wakuu, mana ninavyojua kwa equity hii code ya paypal ingekuja kwa sms kupitia number niliyofungulia, paypal wao wameshalamba 1.5 dollars na...
  12. skull

    Mwongozo kusomea Programming Language

    Salama wakuu mimi ni Fundi wa vifaa vya umeme na Umeme wenyewe niko interested zaidi na Electronics natamani kujifunza Programming language nahitaji muongozo Pakuanzia wakuu kuna watu wamenishauri nijifunze C and C++ kutoka na field niliyopo sasa experts,Hobbyist nahitaji ushauri wako na link...
  13. skull

    msaada namna ya kuunga relay hizi

    wakuu nina relay switc nahangaika namna ya kuziconnect ost s 112dm 12 vdc na4078 dc9v shg hii ya volt tisa niki energize coil naisikia ikimake ila nashindwa kuzijua ipi nc and no
  14. skull

    Microphone bei gani

    wakuu hvi microphone zina range bei gani nataka ndogo tu ya kutumia wakati wa sherehe
  15. skull

    Hebu nitoeni ushamba

    Nina laptops aina ya Asus ni mini sasa Hdd yake ni kama 28 Gb nahitaji ku upgrade je hard disc zinaingiliana au zinatofautiana kutokana na mashine nahitaji ya 200Gb ebu nipeni na bei kabisa
  16. skull

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Telecommunication Engineering UDOM

    Wakuu, hii course imekaaje hapo UDOM? Je mkopo ni uhakika kwa asilimia ngapi natokea diploma..! Electrical
  17. skull

    Wakuu GPA ina calculatiwa vipi?

    Husika na kichwa cha habari apo juu je gpa inatafutwa vipi inaanzia kucalculatiwa kuanzia first year semister au?
  18. skull

    Umeme umeniungizia Laptop Yangu..!

    Wakuu poleni na majukumu, natambua uwepo wa mafundi laptop humu sasa shida yangu ni kuwa umeme umeniunguzia laptop yangu, Je nifate taratibu zipi kurepair power supply ya ndani ambayo probably inaweza kuwa imeungua? Maana laptop ilikuwa full charged but plugged in sasa ghafla nawasha imegoma...
Back
Top Bottom