Search results

  1. M

    Vijana wanasubiri bahati katika maisha

    KWANINI MAISHA YAKO YAWE YA BAHATI NASIBU? Ni meangalia jamii yangu inayo nizunguka hasa kwa vijana bado kuna vimbi kubwa sana la watu wanaishi basi na kujua nn kusudi hasa la kuishi na wala hawana habari na kuyajua hayo wanaishi maisha ya udhalilishaji pasi na kujua wamekua chini zaidi ya...
  2. M

    USHAURI WA.BIASHARA

    Samahanini ndugu mm naombeni ushauri nataka kuanzisha biashara ya ps kuchezesha gemu lakin ninamtaji mdogo sana kutokana na udogo wa mtaji nuliokuwa nao nataka kuanza na ps2 na tv ya chogo ndogo ninachotaka kwenu ni ushauri nifanyaje ile niwe tofauti na wengine ili niweze kupata wateja...
  3. M

    Nataka kuingia kwenye ulingo wa siasa rasmi; Je, nijiunge na CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Husika na kicha wa habari hapo juu, Ninaomba kushauriwa juu ya jambo hili. Mimi naipenda sana siasa, mzee wangu yupo CCM na ni mwanachama hai. Kwakweli umenivitia sana kwa mzee wangu kuwa mwanasiasa japo si maarufu nchini lakini katika mtaa ambao yupo ni mtu tofauti sana na amenishauri kuwa...
  4. M

    Nisaidieni jamani ni mjibu ustadhi wangu

    asalamu wana jf .. kuna shekh wangu huwa anapenda sana kuniomba ushauri juzi tulikuwa tunapiga story akaniambia"" mgosi unajua mm nina matatizo yaan msichana au mwanamke akiniita kwa jina langu rama huwa najiskia vibaya nahis hisia za mapenzi zina nijia na jamaa anasimama kabisa """...
  5. M

    MAISHA YA WATANZANIA NI MAGUMU SANA

    Hila kiukweli leo nimegundua kuwa watanzania kwa sasa wamevurugwa, nilikuwa morogoro mjini leo nikizunguka kuna v2 nilikuwa natafuta. Yaani wa2 maisha ni magumu. Kwa mfano nilifika sehemu nikataka kununua muhindi, nikaulizia bei akasema mia tano, nikamuuliza una chenchi ya elfu kumi, huwezi...
  6. M

    CHADEMA imelinda heshima ya Sosopi

    Nchi nzima ni zaidi ya majimbo 235 ambayo Sosopi anatakiwa kuyasimamia. Msigwa kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33 kwa msingi huu Sosopi kwa cheo chake cha makamu mwenyekiti BAVICHA Taifa. Ni mkubwa zaidi kiutendaji na kimamlaka kiliko msigwa. Msigwa ambae ni Mwenyekiti mpya kanda ya Nyasa...
  7. M

    Ben Saanane

    Umetwacha na fadhaa Ben mwana wa Saanane Fokasi yako ni taa, Ya usiku wa manane Fesibuku unang’aa, Mithili ya manemane Mlete wetu shujaa, Ben mwana wa Saanane Hupimiki kwa dhiraa Si mnyama ulingane Mizani inakataa, Faru Joni mianane Hata ukijaza paa , Makumi elfu nane Tunamtaka shujaa, Ben...
  8. M

    Hebu soma kisha toa maoni kwa serikali yako

    Ipo dhana inayotembea vichwani mwa watanzania waliowengi kwamba hali ya maisha na hali ya nchi ilivyo sasa, imesababishwa na serikali ya Rais Magufuli ili ijenge nchi vizuri... Hii imetumiwa hata na rais kufuatia kauli zake za kwamba anainyoosha nchi... Watu wameaminishwa kuwa serikali imeamua...
  9. M

    unatoka mkoa gani kati ya hii

    TANGA mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga. ARUSHA kama huna meno ya dhahabu unatengwa. MANYARA usipoua simba we boya tuu MARA demu akiwa hapigwi anaomba talaka. MWANZA mtoto mchanga wa cku 1 anapewa ugali sio maziwa. KAGERA. huko hata barabara ya vumbi wanaita flyover. KiGOMA .kati ya...
  10. M

    Vijana wa CCM ndio watakaoiangusha CCM na sio wapinzani

    Wakuiangusha CCM ni CCM Nidhahiri sasa vijana wameonekana nakuaminiwa sana katika utawala huu wa awamu ya tano' rais wetu mpendwa ameamua kuwaamini vijana katika kazi mbalimbali na bila upendeleo wowote. Vijana wengi waliokwishapewa nafasi mbalimbali naamini ni juhudi zao binafsi. Sijui...
  11. M

    NI KWELI INAMPASA SUGU AWAJIBIKE KWA KOSA LA DEREVA WAKE ????

    MBUNGE "SUGU" AWAJIBIKE KISIASA Mwaka 1977 Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Peter Said Sioverwa (kwa sasa ni Marehemu) aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais usalama wa Taifa; bila ya kuwasahau waliokuwa Wakuu wa Mikoa wa Mwanza na Shinyanga Mzee Peter Kisumo...
  12. M

    Ushauri naombeni msaada

    mm nikijana wa miaka 23 nimepata mpenzi miez wa tatu sasa lakin mpenzi huyi akija kwangu ukimgusa anasema anaunwa lakin huwa kila anachokitaka kutoka kwangu kwa hesabu za haraka miez mitatu ambayo nipo naye kwenye mahusiano ameshatumia tayari 150000 hiz ni pesa ambazo nimempa keshi acha...
Back
Top Bottom