Search results

  1. D

    Je ni halali waTZ kupandishiwa bei ya Umeme wakati twalala kizani?

    Wakuu, heshima zenu nilidhani tulipopandishiwa bei ya nishati tutaipata wakati wowote tukiihitaji japo kwa maumivu au kwa mwendo Wa kuruka! Kumbe sivyo? Je hii mnaionaje wakuu? Natumia kasimu kangu hapa coz no power since yesterday.. No pc.. No radio.. no TV... No fan.. No AC.. No etc.....
Back
Top Bottom