Search results

  1. Z

    FT: Azam FC 2 - 1 Singida Fountain | NBC Premier League | Azam Complex | 21.09.2023

    Hii mechi nzuri kuangalia,sio Kama iliyopita butua butua
  2. Z

    FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

    Msimamo wa ligi bado Sana,labda ni nyie mnahangaika mkae japo kidogo,maana Mambo yakishakua Mambo,kukaa juu mtakusikia tu
  3. Z

    FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

    Wapo pungufu lakini makolo wanacheza uharo mtupu,hkuna timu apa
  4. Z

    FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

    Wapatie wapi goli kumi,dakika ya 76 hii,labda ingekua rede hii
  5. Z

    Leo napewa connection ya kutoboa maisha

    Anavutwa mtu,atapigwa mtu muda si mrefu
  6. Z

    Malikia Lady Jaydee linapokuja suala la Chorus

    Fid q ft lady jaydee .kadi na ua rose
  7. Z

    Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    Kaa kimya ufiche ujinga wako,unajua mpira kweli wewe,Kuna offside gani Sasa pale
  8. Z

    Mimi ni kijana wa miaka 23, nina mtaji wa 120k naombeni mnishauri biashara ya kufanya

    Watakuja wazee wa kubeti,wakuambie ,muekee yote man city Leo anashinda,uamke na kitita
  9. Z

    Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Kama na yeye mwenyewe kadhamiria kuacha,nicheki private ndugu yako ata pona,ulevi ni ugonjwa
  10. Z

    Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Mlevi aliyofika stage hiyo,hawezi kosa kunywa,ata Kama Hana ela
  11. Z

    Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

    Penat gani Apo na wewe ,mnataka mpira uanze kuharibika
  12. Z

    Demokrasia imekua hadi sasa Waziri Nape hajaufungia wimbo wa Amkeni wa Nay wa Mitego!

    Mbona enzi zake,walimkamata,akasema aachiwe ,na ngoma ikaendelea kupigwa,na kwenye ngoma ,aliwachana Sana,na kusema kwa Nini bashite hatumbuliwi,"kwa Nini nchi inaogozwa kwa Kiki"
  13. Z

    Happy birthday to me 🎂🎉

    Happy birthday to you mrembo. Agiza soda apo kwa mangi ,ya kushushia na hiyo cake,nitalipa
  14. Z

    Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

    Kumbe haukunielewa,nani nakuambia uyo ni binti?unamjua mende ni mtu wa Aina gani?
Back
Top Bottom