Search results

  1. mamaafacebook II

    Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

    nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho...
  2. mamaafacebook II

    Msaada: Dawa ya kuangamiza siafu

    Wapendwa mambo vipi Naomba kufahamishwa dawa ya kuangamiza hawa wadudu Chumbani wamejaa mpaka kitandani hapa nipo nje nimeshachoma nguo lakini wapi ipi dawa ya kuwafanya wasirudi tena??
  3. mamaafacebook II

    Tanzia: Mke mdogo wa Mzee Yusuph afariki dunia wakati akijifungua

    Mke mdogo wa aliyekuwa muimbaji wa miondoko ya taarabu, mfalme Mzee Yusuph aitwae Chiku amefariki usiku huu katika hospitali ya Amana alipokwenda kujifungua Chiku amefariki yeye pamoja na mtoto. Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
  4. mamaafacebook II

    Happy Birthday MO11

    Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma akuongoze Na akupe Kila lenye heri nawe Heri ya siku ya kuzaliwa Tony [emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512] MO11 MO11
  5. mamaafacebook II

    Sakata la mange kimambi Na tzshaderoom

    Lile sakata la mwanamama mchambaji maarufi Instagram Mange Kimambi Na Tzshaderoom a.k.a Milly bado linaendelea Na ubuyu n kama ufuatao [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Back
Top Bottom