Search results

  1. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Uchaguzi 2020 Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kumpa kura John Pombe Magufuli

    Mwaka 2014 nikiwa katibu wa Umoja wa vijana Chama Chama Cha Mapindizi UVCCM-Mkoa wa Morogoro Tulipokea Wageni Vijana kutoka Africa Kusini. Lengo la Vijana hao ilikua ni kutembelea Eneo la Mazimbu ambalo wapigania Uhuru wa Taifa hilo lililopo kusini mwa Africa waliweka kambi na kuchukua mafunzo...
  2. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Salamu zangu kutoka bara kwa Wanzanzibari..

    Upo wapi Ndugu Yangu ? Nipo morena hotel kaka Ok ningoje hapo nakupitia twende sehemu .. Yalikua Mazungumzo yangu kwa njia ya simu kati yangu na kaka yangu,Kiongozi wangu, na Rafiki yangu Mheshimiwa Antony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Baada ya dakika chache alifika hotelini kisha...
  3. Nicodemas Tambo Mwikozi

    I Need Privacy with u.

    Ni wakati ambao Alarm iliotumika kuniamsha ilikua jogoo linapowika, saa yangu ya mkononi ilikua kivuli changu, kadri kinavyokua kirefu au kifupi na kuhama upande niliweza kubaini sasa ni saa ngapi Jua lilipozama liliashiria ukomo wa siku na kwa mjibu wa sheria za nyumbani nililazimika muda huo...
  4. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Siyabonga - Robert Mangaliso Sobukwe: Simulizi iliyonitoa machozi

    Mwaka 1952 Bunge dhalimu na la kibaguzi lililokua chini ya Makaburu Afrika kusini lilipitisha sheria ya kibaguzi, sheria hiyo iliyomtaka kila mtu Mweusi kuwa na kitambulisho kilichopewa jina la DOMPAS ID, kitambulisho hicho kilifanana na Hati ya kusafiria (passport) Kitambulisho hicho (Dompas...
  5. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Mwanao (Soma muhimu)

    MWANAO Ipo siku utakuja kupata mtoto. Itakuwa ni siku ya furaha kubwa sana kwako na jamaa zako. Mtoto utakayempata ataongeza thamani na ladha maishani mwako. Kila utakapomuona utakuwa huamini kama huyo mtoto ni mali yako mwenyewe. Kuna hali itakujia na kuhisi kama vile umeazimwa, kwamba iko...
  6. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Pongezi kwa Dr. Kigwangalla kwa Kufika Uhuru Peak

    Pongezi kwa kuutangaza utalii wa ndani kwa Vitendo
  7. Nicodemas Tambo Mwikozi

    MAPENZI YA MUNGU

    MAPENZI YA MUNGU Ukijilaza na kupata usingizi, ujue ni mapenzi ya Mungu, lakini ukiamka asubuhi mzima wa afya, tambua kuwa ni mapenzi ya Mungu pia Ukiweza kula na kumeza, jua kuwa ni mapenzi ya mapenzi ya Mungu. Lakini wakati mwingine hata unapokosa chakula ni mapenzi ya Mungu Ukipata ajali...
  8. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Jichagulie dunia yako

    Sahau kuhusu mengineyo, kinachofurahisha ni kuwa katika dunia yetu hii kila mtu ni staa...ni staa katika dunia yake; tena kila mmoja ni shujaa...lakini ni shujaa katika dunia yake; isitoshe kila mtu ni mjuaji...lakini ujuaji wake unadhihirika zaidi katika dunia yake. Kwa kifupi kila mmoja...
  9. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Kombe la DUNIA

    *KIPENZI MKE WANGU, KOMBE LA DUNIA LINAKARIBIA KUANZA.* *_NAKUMEGEA VIPANDE VYA KANUNI ZITAKAZO PELEKEA UZURI WAKO ULIONAO UBAKI SALAMA KWA KIPINDI CHOTE CHA WORLD CUP_* *KANUNI[emoji1427]* 1: Remote ya TV hakikisha muda wote iko mikononi mwangu. 2: Wakati game linaendelea, jizuie kuniuliza...
  10. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Nakukumbusha tu: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo

    1. Ni bei ya sato kilo moja 2. Kuku wa nyama mmoja 3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe 4.Sukari kilo 3 5. Donna kilo 4 6. Mchele kilo 4 super kabisa 7. Maziwa ya ng'ombe lita 4 8. Soda take away 10 9. Castle lite 4 10. Petrol lita 5 11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi 12. Chocolote ivory dogo 20...
  11. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Ngozi ya mapenzi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Baada ya kusikia mwingine tena kapigwa na kitu kingine chenye ncha kali na kupoteza maisha, nilijikuta nikirudisha kumbukumbu zangu juu ya ngozi; ngozi za ng'ombe, ngozi za binadamu, ngozi za mimea nk. Kila chenye uhai Mwenyezi Mungu alikipatia ngozi...
  12. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Jipu la moyo

    Nimepanga kwenye chumba kimoja maeneo ya kigamboni. Na ninaishi kisela, maisha ya kigumu. Sina mke wala demu, na sitaki demu. Sitaki kabisa kusikia huo utumbo. Hapa nilipo nina hasira hadi natamani niache kuandika!! Namlaumu sana Nasra, kwani ndiye kasababisha yote haya. Yani kwa jinsi...
  13. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Kisa cha Muethiopia Tadasse Metaferia hospitalini Amana kiliniacha na tafakuri nyingi

    Kuishi kwenye jumba la thamani, na kutembelea gari la kifahari sio kithibitisho tosha kuwa una HALI NZURI. Kuna tofauti kati ya kuwa na hali nzuri na kuwa na mali nyingi. Unaweza kuwa na mali nyingi, tena za thamani na usiwe na hali nzuri. Japo tafsiri ya wengi ni kuwa mali nyingi ni kuwa na...
  14. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Masikio ya Kenge.. based on true story

    MASIKIO YA KENGE Kenge huwa hasikii kabisa mpaka pale masikio yake yatakapotoka damu. Na ukiona masikio ya kenge yanatoa damu basi ujue yameanza kusikia. Kama hujui ni kwamba kusikia kwa kenge ni mpaka pale anapokuwa amepigwa vizuri kichwani kiasi cha kutoa damu masikioni. Hapo utamuona...
  15. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Black Jesus (Based on true story)

    Sumbawanga ndiyo nyumbani kwetu, na kitongoji maarufu kiitwacho Mazwi ndiko hasa nilikozaliwa, kukulia na kujanjarukia! Umbali wa takribani mita mia moja tu kutoka nyumbani kwetu, mahali nilipokulia na kuishi na bibi na babu yangu, ndipo unapopatikana uwanja maarufu mkoani Rukwa uliopewa jina...
  16. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Picha old vs new

  17. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Naomba kujua msanii gani kaimba wimbo huu

    Nimeupenda naona sauti ni mbongo ila video wahindi naomba kujua sauti hiyo ni msanii gani na jina la wimbo
  18. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Must read for married couples

    A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can't have sex without attaching emotions to it. This is the reason men simply need a place to have sex while women need a...
  19. Nicodemas Tambo Mwikozi

    Tetesi: IT Technology ilivyochambua wizi wa kura kenya.

    SHOCKING REPORT FROM ICT ACCESS/AUDIT REPORT! 1.341 users accessed the system between 6th August 2017 to 22nd August 2017 2. There were 3395 failed log in attempts and 3851 successful log in attempts within the same period 3. Strangers and unauthorized staffs logged into the system between...
Back
Top Bottom