Search results

  1. LAMBOFGOD

    Dawa ya kumkamata na kumgandisha mchawi

    Ndugu wanajf tafadhari naomba mwenye ujuzi wa mambo haya anisaidie dawa, maana kuna watu huku mtaani wanataka tuwaogepe kama na wao wanaishi magogoni kumbe wasikini watupu wamejaa chuki, fitna, husuda na laana. Kwa sasa nataka dawa ya kuwakata na kuwagandisha till morning na wakinichezea...
  2. LAMBOFGOD

    Karibu kwa majibu yako ya mifumo mbalimbali ya kielectronic.

    Tunatengeneza mifumo mbalimbali kulingana na mahitaji yako ya kiofisi na yale yasiyo ya kiofisi (computer systems) kwa kutumia language zifuatazo HTML, CSS, Java Script, C, Php, Java na Python. Pia tunakufungia mifumo ya ulinzi ifuatayo:- Electric fence- a barrier that uses electric shocks to...
  3. LAMBOFGOD

    HUU NDIO UKWELI WA MAMBO

    Leo nakuletea hii ujifunze The law of conservation of usingizi states that “usingizi cannot be created nor destroyed but can be transformed from one time to another”. To test the applicability of this law ask students, night clubbers and all who spend night time charting, watching movies or...
  4. LAMBOFGOD

    Ni nini maana yake?

    Wana bodi, hawa vijana wa kisasa au mjini wana misemo yao wanaita kuntu, sasa katika pitapita zangu nikamsikia kijana mmoja anakawa anamjibu mwenzake kwa ukali eti "hujielewi wewe kama nyuchi chakavu". Hapa nimejiuliza maswali kibao nini maana ya nyuchi chakavu? na kipimo gani hutumika kutambua...
  5. LAMBOFGOD

    Je, mtoto mchanga akiwa tumboni kwa mama yake anaweza kuugua?

    Wana JF karibuni kwa mjadala huu Napenda kujua kama watoto wachanga wawapo tumboni kwa mama zao {kabla ya kuzaliwa} wanaweza kuugua {ugonjwa wa aina yeyote}? Na kama huwa wanaugua nini hutumika kama dawa kuwaponesha? Au mechanism gani hutumika kumponesha kutoka kwa mama yake? Na kama...
  6. LAMBOFGOD

    Unfortunately Samsung galaxy tab has stopped

    Kwa wale ambao walishatumia Samsung galaxy tab na kukukutana na tatizo la message kama hii Unfortunately Samsung galaxy tab has stopped Mlilitatua vp wakuu msaada tafadhali
  7. LAMBOFGOD

    Kwanini miaka 25 kwa serikali ya awamu hii na mamlaka zake?

    Kama mada isomekavyo hapo juu ningependa kujua kwa nini serikali imeamua kuwa miaka 25 kushuka chini ndo wenye nguvu za kufanya kazi? Tumeshuhudia takukuru wakitoa nafasi za kazi na targeted applicants walikuwa 25 and below na pia JKT tumeona wamewaignore majority ambao wengi ni degree...
  8. LAMBOFGOD

    Papa Francis akiri kushikwa na usingizi wakati anapofanya maombi

    'Wakati ninapoomba , mara nyengine mimi hushikwa na usingizi'', alisema katika kipindi kimoja cha kanisa hilo cha TV2000 kilichochapishwa katika mtandao wa You tube. ''Mtakatifu Theresa pia alikuwa akilala'', alisema kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 80 kuhusu mtakatifu huyo wa karne ya 19...
  9. LAMBOFGOD

    Proposal ya kilimo cha matikiti

    Wakuu naomba msaada kwa mwenye proposal ya kilimo cha matikiti anisaidie, nataka nijilipue huko nna ka capital kangu hapa kama mil 2 NI PM Natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeguswa na uhitaji wangu
  10. LAMBOFGOD

    Madoctor wa computer pitieni hapa kuna jambo

    Habari za saa hizi wanajukwaa, poleni kwa majukumu mbalimbali mliyokutana nayo siku ya leo katika kuhakikisha mnayaendesha maisha tena bila leseni ili mkono upate kufika kinywani na siyo maisha kutuendesha. Mafundi wa computer naombeni msaada wenu juu ya kuformat/kuinstall windows kwenye...
  11. LAMBOFGOD

    Je kuna ukweli katika msemo huu "Mungu anakusaidia na wewe unajisaidia"

    Je kuna ukweli katika msemo huu maarufu “Mungu anakusaidia na wewe unajisaidia” kwa tafiti zangu ni msemo uliojizolea sifa na kufahamika vizuri mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani kwa watu wa rika zote tangu mototo mwenye uelewa, vijana hata wazee. Cha kushangaza zaidi juu ya msemo huu ni...
  12. LAMBOFGOD

    Kumekucha Jimbo katoliki Moshi na Arusha

    Jimbo katolik Moshi na Arusha laazimia kuondoa kikwazo cha mahali kwa vijana wengi wanaoshindwa kufunga ndoa zao kwa kutozwa mahali kubwa kubwa na wazazi wa mabinti hivyo kuwafanya wawili hao kuendelea kuwa wachumba sugu na wazinzi wazoefu aidha waumini wametakiwa kuondokana na mila zilizopitwa...
  13. LAMBOFGOD

    Kwanini utoe sadaka isiyofanya kazi ya Mungu?

    Tabia mojawapo ya mungu ni upendo na ukarimu, yaani Mmungu siyo mbinafsi rejea mwa1:28-31 na mwa 9:1-3. Mungu akamshirikisha mwadamu apate kutawala duniani kwa niaba yake, tena akamfundisha mwadamu ukarimu huo ili naye awe mkarimu kwa Mungu na watu wamzungukao ambao ni mfano na sura ya mungu...
  14. LAMBOFGOD

    Ushauri: Anataka kusomea upadri ila wazazi hawataki

    Kuna kijana jirani yangu anataka akasomee mambo ya upadri lakini wazazi wake wamemkataza kwa kila sababu wanazojua wao na wanamwambia atafute kazi ili akaajiriwe. Sasa jamaa kaja kwangu, me of course “nimemshauri aendelee na lengo lake ili shauku ya moyo wake itimie kwa sababa swala la kazi si...
  15. LAMBOFGOD

    Wanafunzi kupimwa kubaini waliokeketwa

    Hodi wanajamvi, Nimatumaini yangu yakwamba muwazima wa afya!!!! Nina maswali machache juu ya mpango mkakati huu ambao uko mbioni kuwa implemented 1. Ni kifaa gani kitakacho tumika wakati wa kuwapima wanafunzi na human assistance itakayohusika itakuaje? 2. Kitendo cha kuwapima...
  16. LAMBOFGOD

    Tamaduni zetu murua

    Kila ninapotafakari juu ya tamaduni za kitanzania zinavyozidi kupotea na kudharauliwa na watanzania wenyewe sinabudi kukumbuka miaka ya tisini kurudi nyuma pale familia nzima tulipomtembelea bibi kijijini na kumkuta kaandaa na katunza kuni darini specially kwa ajiri ya kupikia chakula cha wageni...
  17. LAMBOFGOD

    71% ya vijana nchini wanatumia muda wao kufanya mambo yasiyokuwa na tija

    71% ya vijana nchini wanatumia muda wao kufanya mambo yasiyokuwa na tija badala ya kujishughulisha na mambo ya kimaendeleo Je kwa mtazamo wako hili jambo lina ukweli gani hususani kwa nchi yetu?
  18. LAMBOFGOD

    kwa nini wanawake

    Inadaiwa kuwa kwenye wanawake watano, mmoja anasumbuliwa na matatizo ya akili ukilinganisha na mwanamume mmoja kati ya wanane
  19. LAMBOFGOD

    Music uishio hapa

    Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya music fans wote. Lengo ni kukumbushana musiki wa kibongo hasa zile track zenye jumbe kuntu za kufundisha jamii katika maisha ya kila siku na changamoto zake, Unacho takiwa kufanya ni kuandika jina la mwanamziki na single...
  20. LAMBOFGOD

    Kiswahili hoyee

    Habari wanaJF, Ninaomba uzi huu uwe maalumu kabisa kwa ajili ya kuvielewa kwa majina vifaa vya kielectronic na vya teknologia ya habari na mawasiliano (IT) na terminology zake. Unacho takiwa kufanya ni kuandika jina kwa lugha ya malkia na tafasiri yake kwa kiswahili lengo ni kuipa kipaumbele...
Back
Top Bottom