Search results

  1. Mr Alola

    Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    CCM mnafanya si vizuri kudraw attention za watu halafu mpo kimya.
  2. Mr Alola

    Polepole: Kiongozi mwingine mkubwa wa upinzani kuhamia CCM

    Aibu sana.. Siyo LIPUMBA huyo?
  3. Mr Alola

    Mambo ya vyapati...!!!

    Aisee...nimetoka kukandamiza Ugali wa udaga si mda sasa hii sijaelewa inaweza ikawa ndo dinner au supper, nieleweshe mkuu, maana mate yanatoka tu hapa.
  4. Mr Alola

    Mwanamke anayejitambua aje PM

    Ukichukulia kila kitu kinachochapishwa humu SIRIAZI sana utaumia kichwa mkuu
  5. Mr Alola

    Bahatisha umri wa mwanaJF

    Wewe 21
  6. Mr Alola

    Bahatisha umri wa mwanaJF

    Mexcence Melo atakuwa na 38
  7. Mr Alola

    Bahatisha umri wa mwanaJF

    wewe hutoki kwenye 27-32
  8. Mr Alola

    Bahatisha umri wa mwanaJF

    Deo kisandu atakuwa na 49
  9. Mr Alola

    Bahatisha umri wa mwanaJF

    Mimi lemutuzi kanipita mwaka mmoja. Yeye ana 28 sasa.
  10. Mr Alola

    Bahatisha umri wa mwanaJF

    Kama wewe , ni ngumu kukubahatisha kwa kweli.
  11. Mr Alola

    Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

    Mimi nachojua Gigi mahela ni mjasiriamwili, sasa mambo ya BASATA wapi na wapi?
  12. Mr Alola

    Wataalamu wa madini hii ni aina gani ya jiwe?!

    pYrite, buzwagi pit yapo kibao hayo, ila hiyo yako inang'aa zaidi
Back
Top Bottom