Search results

  1. Chimemena

    Wapi nitapata Swiss Gear BackPark

    Salaam Wadau wa JF, Poleni na kazi za kutwa nzima! Tafadhali naomba msaada, eti ni sehemu gani hapa Dar naweza kupata hizi begi za Swiss Gear. Nahitaji tatu kwa matumizi binafsi na kwa familia sio biashara. Shukrani.
  2. Chimemena

    Wataalam wa TECHNOLOGY naomba msaada wenu katika hili.

    Laptop yangu inanisumbua kidogo na nimeshindwa kupata suluhisho mpaka sasa naombeni msaada wenu Wataalamu wa Technology, Gadgets & Science (kama nitakvyoeleza hapo chini na kauambatanisha picha). Mimi sio mtaalam sana kwa program za COMPUTER ila jana nilichomeka flash ili niweze kuhamisha...
  3. Chimemena

    Mbunge wa viti maalumu (CCM) Maria Salungi akichangia maada

    Mbunge wa viti maalumu (CCM) Maria Salungi akichangia maada kuhusiana na kijana anajitambuaje katika kuhamasika kupiga kura Oktoba 25 mwaka huu ili waweze kumchagua kiongozi wanae mtaka, kwa kuwa baadhi ya vijana ni mara yao ya kwanza upiga kura. Source: MATUKIO-MICHUZI
  4. Chimemena

    Evolution

    Sijui kwa nini inakuwaga hivi...!!!
  5. Chimemena

    Wapi nitapata nyimbo hizi za zamani...!!!

    Habari gani wadau wa Jukwaa hili! Naomba msaada wenu wa hali na mali niweze kupata nyimbo hizi za WASANII wa zamani zenye radha tofauti ili nami niweze kukumbusha enzi kidogo; A. PEPE KALLE 1. Loin des yeux 2. Simplicite 3. Coco 5. Ambiance sebene 6. Amour, vie dure 7. Nabaeteli B...
  6. Chimemena

    Wapi nitapata nyimbo hizi za zamani

    Habari gani wadau wa Jukwaa hili! Naomba msaada wenu wa hali na mali niweze kupata nyimbo hizi za WASANII wa zamani zenye radha tofauti ili nami niweze kukumbusha enzi kidogo; A. PEPE KALLE 1. Loin des yeux 2. Simplicite 3. Coco 5. Ambiance sebene 6. Amour, vie dure 7. Nabaeteli B...
  7. Chimemena

    Ally Amani Karume anakaribisha machafuko Zanzibar?

    Habari Wakuu! Wakati tunaendelea kutofakari na kuchambua maamuzi ya kujiuzuri kwa Muhongo, kutangazwa na kuapishwa kwa Mawaziri leo naomba pia tujiulize na kuangalia siasa zinazofanywa huko Zanzibar na mtoto wa rais wa kwanza wa Zanzibar Balozi Ally Amani Karume kwa manufaa ya wazanzibari na...
  8. Chimemena

    Nipatie smartphone kwa laki 1.20

    Wadau nina pesa tajwa hapo juu natamani sana smartphone aina ya Samsung au Sony Experia, wapi nitapata kwa hapo dar?
  9. Chimemena

    Msaada wenu tafadhari.!!

    Wakuu heshima kwenu..! Ninaomba msaada jinsi ya ku update au kuongeza channel kupitia receiver ya dish ( sijui wenyewe mwaita dish setallite ama ungo) kwa sasa inaonyesha channel 10 tu, local channels zote kasoro tbc.!! Wasalaam.
  10. Chimemena

    Mtaji wa mil 50 anaomba ushauri wa kibiashara.

    Habari wandugu.!! Mama yetu amestaafu na kufanikiwa kupata mafao yake tsh 150 million, katika hilo kachukua mil 50 na kuweka fixed deposite crdb, 20 kawekeza kwenye kumalizia nyumba yake mpya, 20 kagawa kwetu sisi watoto na matumizi mengine madogo madogo, mil 5 kanunua pkpk 2 zinazotumika...
  11. Chimemena

    Hotuba ya rais KIKWETE 31.01.2013 imebeba ujumbe gani kwa watz!!?

    Wanajf leo ni mwisho wa mwezi, kama ilivyo desturi raisi huwa anahutubia wananchi wake kupitia media mbalimbali, swali la kujiuliza hapa hutuba hyo itakuwa na ujumbe gani wa msingi kwetu sisi watanzania, au itatawaliwa na kejeri na ahadi kibao kama ilivyozoeleka. Kuna mambo mengi yamejitokeza...
  12. Chimemena

    Binti wa miaka 14 atoweka nyumbani.

    Habari zenu wana JF. Heri ya Xmass na maandalizi mema ya kuukaribisha mwka mpya. Familia inaomba ushauri wenu. Najitokeza mbele yenu kuomba msaada wenu wa mawazo, nina mdogo wangu wa kike ana miaka 14 amemaliza class 7 mwaka huu, tayari kashavunja ungo. Huyu binti kawa mapepe sana baada...
  13. Chimemena

    Chungu cha pili leo.!!

    Hapo jana mpaka kufikia saa 10 jioni mambo yalikuwa hivi
  14. Chimemena

    Ajari: Gari la tumbukia mtoni

    Ndugu zangu.! Mkoani Ruvuma, wilaya ya Mbinga, Kata ya Ngumbo, kijiji cha Mkili hapo jana usiku kumetokea na ajari ya gari aina ya Landrover iliyo tumbukia mtoni (mto unaitwa MUNYAMACHI) na kusababisha majeruhi 7 na vifo vya watu watano (5) wakiwemo walimu wa shule za msing watatu waliokuwa...
  15. Chimemena

    Nimekunywa soda chafu..!!?

    Ndugu wanaJF dakika chache zilizopita nimeenda dukani kununua soda ya STONEY TANGAWIZI, ila cha kushangaza nikiwa nakunywa ghafla nikashtuka kuona ndani ya soda kuna kizibo kimekunjwa na kinaonekana kimeshka kutu. Nikaamua kumimina soda kwenye bakuli naye pia nikaona ina rangi ya kikahawia...
  16. Chimemena

    Blogs na forum za michezo.

    Jamani wadau mimi ni mpenzi sana wa sports hususan football both locally and international. Je ni blogs au forum gani naweza kupata information za soka achilia mbali na hizi ninazozijua: 1. Supersport.com 2. m.Goal.com 3. Skysport.com 4. 3arabsport.com 5. Tensport.com. Niongezeni jamani...
  17. Chimemena

    Blogs na Forums za Michezo

    Jamani wadau mimi ni mpenzi sana wa sports hususan football both locally and international. Je ni blogs au forum gani naweza kupata information za soka achilia mbali na hizi ninazozijua: 1. Supersport.com 2. m.Goal.com 3. Skysport.com 4. 3arabsport.com 5. Tensport.com. Niongezeni jamani...
  18. Chimemena

    Ajari ya gari yauwa watu 7.!?

    Jana kumetokea na ajali ya gari aina ya Randrover inayofanya safari zake tokea Mbinga kwenda mji mdogo wa Mbamba-bay hapa mkoani Ruvuma ambapo gari hiyo iliyokuwa inaendeshwa kwa mwendo kasi ilitumbuki kwenye bonde na kuwaka moto ambapo watu saba wameungua moto na kubaki majivu na kuacha...
  19. Chimemena

    Nauli za ndege..!

    Wadau naomba kujuzwa kuhusu nauli ya ndege toka Arusha to Dar es salaam. Kwa wale waliowahi kusikia au kusafr kwa ndege naomba msaada wenu. Nataka kuja dar kesho kuna ndugu yangu kafariki ghafla.
  20. Chimemena

    Daladala za Arusha zagoma

    Jamani hapa Arusha leo daladala zote zmegoma ili kushinikiza madai ya madereva na wamiliki kwa selikal hususan traffic. Yaani ni karaha juu ya udhiha hakuna daldala since saa 11 alfajili.
Back
Top Bottom