Search results

  1. bakaryabdul

    Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    Habari yako mkuu, mimi huwa ninaweza nikakaa nikawaza au nikatamani jambo fulani linitokee mfano ninaweza nikatamani siku moja nije kuwa na gari zuri au siku moja nije niishi na mtu fulani n.k, na huwa ninawish kwa kipindi kirefu karibia kila siku na nakuwa naimani kitatokea au nitakipata na...
  2. bakaryabdul

    Computer4Sale Hp elitebook 8460p

    Uko wapi na inafaa kwa mabadilishano
  3. bakaryabdul

    Changamoto 5 Utakazokutana nazo ukianzisha Online Business Yoyote. And how to beat them.

    Asante sana mkuu nimekuelewa hasa ulipoandika kuwa ni vizuri kuwekeza pesa kununua vitu vya kiteknolojia vitakavyoweza kukuboost kwenye biashara yako mfano mobile apps au websites. Regards.
  4. bakaryabdul

    Kuchelewa kufika chuoni, nitaruhusiwa kujisajili baada ya muda kupita?

    Habari wadau mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo pale IFM certificate first year 2017/2018 lakini bado sijaripoti wala sijafanya usajili mpaka sasa na hii ni wiki ya pili tangu chuo kifunguliwa yaani masomo kuanza nilikuwa na hitaji kujua kama ninaweza kufanya usajili ilihali muda umepita na...
  5. bakaryabdul

    Nini cha kufanya kwa Mara ya kwanza unapoingia chuo kikuu

    wakuu kuna mtu yoyote aliyeanza first year certificate ifm mwezi huu wa kumi na moja ?
  6. bakaryabdul

    Nini cha kufanya kwa Mara ya kwanza unapoingia chuo kikuu

    hivi ninaweza kuanza chuo bila usajili nikaja kufanya usajili baadae
Back
Top Bottom