Search results

  1. majutobeach

    Ziara ya Zitto Kabwe: Akutana na Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi

    Mwanaume washoka huyo huyu ndio anafaa kuwa Rais Sent using Jamii Forums mobile app
  2. majutobeach

    Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

    Kweli tumepotezwa mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. majutobeach

    Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

    Bado wezi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. majutobeach

    Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

    Mbona aliamasisha wafanyakazi wa serikali wasio maliza kidato Cha nne wafukuzwe wakati yeye mwemyewe hamnazo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. majutobeach

    Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

    Waliopita wangekuwa Kama huyu? duhhhh! Mauuu weeeeee it Sent using Jamii Forums mobile app
  6. majutobeach

    Hivi kuna siku jiji la Dodoma(makao makuu TZ) litakuwa bora kuliko majiji yaliyotangulia kama Mbeya, Dsm, Arusha, Tanga na Mwanza.?

    Yani mijitu mingine hutafikiri haikwenda shule wewe unawezaje kufananisha jiji Na jiji la Dodoma? Hata hiyo Dar wakati inapewa hadhi ya jiji haikustahili kuwa jiji kipindi hicho Kama nijiji ilipaswa iwe eidha mwaka Jana au mwaka juzi kwa mfano Nairobi hakuna bahari lakini jiji la Nairobi huwezi...
  7. majutobeach

    Hivi kuna siku jiji la Dodoma(makao makuu TZ) litakuwa bora kuliko majiji yaliyotangulia kama Mbeya, Dsm, Arusha, Tanga na Mwanza.?

    Mnajadili Nini mnafananisha mtu mzima na mtoto was miaka miwili hata Roma haikujengwa siku moja Sent using Jamii Forums mobile app
  8. majutobeach

    Wanasheria tusaidieni hili jambo la kuwekwa mahabusu na Polisi wetu wa Kitanzania

    Utakuta imetokea ajali ya gari na mwendesha pikipiki au chombo chochote cha Moto na katika ajali hiyo chukulia imesababishwa na marehemu kutokana na mchoro wa trafic lakini Mimi dereva ambaye sikuwa na kosa la kiuendeshaji nachukuliwa na kuwekwa mahabusu nakuambiwa kuwa nimeua. Mfano mwendesha...
  9. majutobeach

    Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

    mafunzo tu Kama mafunzo mengine Sent using Jamii Forums mobile app
  10. majutobeach

    Mijadala ya Tundu Lissu na porojo zake zinawapotezea muda baadhi watanzania kuwajibika

    Hii mijitu ya com iking'ang'ania vitu ni hatari mtu kapigwa lisas fanyeni uchunguzi muuweke hazarani hamtaki leo mtu kapona anaongea ukweli inajitokeza mijitu yenye vihelehele inaazakuongea kisa imepewa madaraka na jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. majutobeach

    Asante Godbless Lema kwa kumtembelea Kitwanga katika Hospitali ya Muhimbili

    Lema ni mwanasiasa mahili sana ana ona mbali juu ya mustakabari wa nchi yetu hongera sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. majutobeach

    Lissu: Mtu/Watu wenye nguvu walipanga kuniua kwa namna ambayo ingekuwa fundisho kwa wengine

    Tuko pamoja nawe Tundu lisu acha hao wanafiki na wazandiki Wapige Kelele majibu2020 lazima upate urais Sent using Jamii Forums mobile app
  13. majutobeach

    Shida ya Tundu Lissu mwepesi kusahau na hana adabu

    Lisu hoyeeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  14. majutobeach

    Uwezi mdogo ICD ya fentuzy

    Serikali iangalie icd hii hainauwezo wa kupokea na kupakia contena Sent using Jamii Forums mobile app
  15. majutobeach

    Wapinzani hawataki Bombardier zifanyiwe ukarabati

    B 13 dahaaaaaa zimeingiza sh ngap Sent using Jamii Forums mobile app
  16. majutobeach

    Magu

    Jiwe saihizi anaangalia mov ya tunduma anashangilia trafic alivyomn'gata sikio kwa meno Yule dereva Sent using Jamii Forums mobile app
  17. majutobeach

    TUNDUMA: Matrafiki wapigana na Dereva wa Fuso

    Hawa jamaa tangu wapewe msisitizo wa kukamata wamekuwa watu wa hovyo sana juzi pale buguruni kuna trafic kaninyoshe mkono wa dharau at sina akili ilibakia kidogo nishuke kwenye gari nikamzabe vibao bahati yake alikuwa mmama mtumzima nikamwonea huruma Sent using Jamii Forums mobile app
  18. majutobeach

    TUNDUMA: Matrafiki wapigana na Dereva wa Fuso

    Hawa jamaa tangu wapewe msisitizo wa kukamata wamekuwa watu wa hovyo sana juzi pale buguruni kuna trafic kaninyoshe mkono wa dharau at sina akili ilibakia kidogo nishuke kwenye gari nikamzabe vibao bahati yake alikuwa mmama mtumzima nikamwonea huruma Sent using Jamii Forums mobile app
  19. majutobeach

    Utafikiri lina Uchungu na nchi

    Huyu Mr chato anavyoongea utafikiri ana uchungu na nchi. Sasa hivi maongozi yake makubwa kuwasifia wafanyakazi anajua kuwa jua liko manghalibi na wengi wa wafanyakazi hawajamkubali Sent using Jamii Forums mobile app
  20. majutobeach

    CRDB hii Card Fee inatuumiza wateja!!!

    Crdb nikimeo wamepitwa kitenkinojia hata na bank ya nmb Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom