kwanini dunia ni flat??
:kwasababu kwenye nembo ya UN imechorwa flat
:kwa sababu hamna picha ya dunia ikiwa duara
:kwa sababu ingekua duara na speed yake hii maji yangemwagika
kuna conspiracy afu kuna stupidity yaan mtu una kaa kwenye keyboard unaandika izo ndo strong points za kutetea...
Jua likasimama na mwezi ukatulia....thats statement alone inatosha kutambua waliocompose ivo vitabu walikua na uelewa mdogo sana wa solar system yetu achilia mbali ulimwengu kwa ujumla..........n its in 21st century bado kuna watu wanavitumia na kua proud
vitabu vya dini vimekulemea kichwani ukichanganya na urojo unaopiga kila siku huezi experience proof yoyote ndo utaelewa za kuletewa!....tusichoshane #urojoeffects
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
kutokuielewa kwako science haimaanishi inamapungufu katika hilo eneo na science inaendelea ku evolve ndo maana kila siku vitu vipya hugunduliwa na science pia hiyo hiyo hubadilika when proven wrong swali lako limeegemea wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
It's 2018 in the Era of Information n technology kuna watu bdo wanaamini kabisa maandishi yasio na facts.......anyways mje kutuelezea na wake wa Cain na Seth walipotokea au walimlala mama yao pia kupata watoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.