Search results

  1. Hazchem plate

    Nahitaji Advocate/ Kamishna wa viapo awe Arusha Jiji

    Nina kazi kidogo kesho Tar. 14.1.2023 Jumamosi nahitaji mwanasheria aniandalie mkataba konki wa Mauziano ya Shamba/ Kiwanja Jiji la Arusha. Kama kuna mwana JF mwana sheria basi anisaidie tutapoozana ili mradi siku ziende. Naomba uje inbox uniambie bei yako ikiwezekana nikupe advance uanze kazi...
  2. Hazchem plate

    AZAM Sports 3 HD

    Naona hawa jamaa Azam TV wameongeza Channel mpya kwenye series yao ya sports HD na kuleta AZAM sports 3 HD Hii ni good move kwenye Tasnia ya TV hapa Tanzania. Sasa tuna channel 5 za HD. Kwa maana hiyo Azam ataweza rusha hata Match 5 za HD TV nyingine kama Clouds, TVE na Wasafi sijui wanasubiri...
  3. Hazchem plate

    Gari yangu ina shida ya Pump

    Wakuu habari za jioni. Hongereni na pasaka Namiliki Gari Toyota Rav 4 A.K.A Miss Tz Ndugu yake na Vanguard ya 2005 Nilipata Shida ya pump kufa toka hapo hii gari imekua changamoto kwangu simply nimeichukia sana natamani hata ninunue ka premio ka kusogeza siku Nimeshanunua pampu kama mbili...
  4. Hazchem plate

    Nahitaji GSM/ 3g Signal booster

    Wakuu nahitaji hicho kifaa kwa ajili ya kuboost Mtandao wa simu eneo nililopo kwani mitandao yote ipo chini sana. Nikipata kichosave angalau Kipenyo cha mita 500 itakuwa poa sana. Kwa yeyote anayeuza au anajua kinapatikana wapi nahitaji sana. Chief-Mkwawa Naomba msaada wako wa kitaalam
  5. Hazchem plate

    Natafuta Android TV BOX yenye optical out/Toslink

    Wakuu natafuta Android TV box kama unayo au unajua mahali inauzwa SIFA Iwe na 4k HDMI out Optical/ Toslink ( Muhimu sana) Issuport Dolby na DTS sound Issuport MKV, MP4, AVI na common codec Iwe na USB inayosoma Ext. HDD Pesa ipo mfuko wa shati, kama unaweza fanya hata udalali niipate Asanteni.
  6. Hazchem plate

    Tunawashukuru watengenezaji wa viatu vya Mossimo

    Hawa mabwana wametuinua sana. Dada zetu sikuhizi wanapiga mizinga ya kununuliwa Mossimo, na sio viatu vya bei kubwa Kwa trend ya sasa, Wanawake nadhani nusu yao hapa Tanzania wanavaa Mosimo Na huko mtaani kila mdada ni Mjasiliamali wa kuuza Mossimo Vinawapendeza sana Hivi viatu licha ya kuwa...
  7. Hazchem plate

    This is Tanzania

    Take a look Karatu - Tanzania Black Rhino Academy
  8. Hazchem plate

    Foleni kubwa Morogoro road

    Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi. Sijui shida ipo wapi
  9. Hazchem plate

    Historia ya Mgambo waliokufa Mbagala

    Zamani kidogo kabla ya mwaka 2010 niliwahi sikia tukio la Mgambo wapatao 5+ (Sina uhakika) Walifariki dunia kwa kula chakula inachosemekana kilikua na sumu. Hii story niliisikia mara kadhaa mtaani na hivyo sina taarifa kamili. ******Story****** Kama utakumbuka matukio ya miaka ya nyuma ya mama...
  10. Hazchem plate

    Kampuni ya Apple kuja na Sasisho (Update IOS 13.5) Ambayo itaruhusu FaceID kwa waliovaa barakoa

    Hivi karibuni Apple watatoa Update ya IoS 13.5 ambayo itaruhusu kufungua simu kwa FaceID hata kwa mtu aliyevaa barakoa. Hii ni kutokana na janga hili la corona ambapo maelekezo Mengi ya kitabibu yanataka mtu avae barakoa/ Musk wakati wote. Changamoto kubwa imekuwa ni kufungua simu au programu...
  11. Hazchem plate

    Naomba msaada (Computer Networking)

    Naomba msaada wa (Computer Networking) Kuna Computer Desktop 4, kuna network Switch, UTP cables na USB broadband modem dongle. Nahitaji kuziunganisha hizi PC zote ili zipate internet kwa kutumia moderm ambayo itakuwa kwenye computer mojawapo. Naomba msaada wataalamu wa mtandao, Wazee wa ma...
  12. Hazchem plate

    KERO: RECEIPT ZA ATM BANK YA CRDB

    Mimi ni Mteja wa benk hii kwa muda sasa. Na pia ni mteja wa benki nyingine nchi. Hawa CRDB wanakera sana. Receipt zao hazioneshi maandishi kabisa. Nimezunguka ATM nyingi sana tena Za mikoa tofauti zaidi ya 10 tatizo ni lilelile. Ikumbukwe Gharama ya Receipt ni Tsh. 1000 + kwenye kila muamala...
  13. Hazchem plate

    SHAMBA LA WAFU - (Graveyard)

    Hivi hapa Tanzania kuna Shamba la wafu la kueleweka????? Hizi nchi zinazoendelea zina shida sana. Sio elimu, Nishati, Huduma za afya, Chakula Hata Ustaarabu tu ni Changamoto. Sidhani hapa Tanzania Kwenye Halmashauri za Majiji, Mikoa, Wilaya Miji, Miji midogo na hata Vijiji kama kuna Maeneo...
  14. Hazchem plate

    Leo ndiyo siku ya mwisho ya mtandao wa BBM

    BBM ni mtandao maarufu wa kijamii wa kwanza ulioanzinishwa mwaka 2005 kabla ya mitandao maarufu ya kwanza kama vile Watsapp ,facebook,instagram na mingineyo kuundwa. Blackberry Messenger maarufu kama BBM si neno geni masikioni mwa wakongwe kwenye utumiaji wa mitandao ya kijamii hasa kwa wale...
  15. Hazchem plate

    Perkins generator

    Wakuu vipi, Natafuta Dealer au Duka wanalouza vifaa vya Generators za Perkins. Shida yangu hasa ni kupata Filters Za oil na diesel, casing zake na Hata ijiwezekana Cap zake nahitaji
  16. Hazchem plate

    Nikikumbuka hii kitu naishia kucheka tuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

    Enzi hiizo wakati bado kijana naishi getto, alinipigia Sim "Dem" wangu akaniambia beby Jmosi nakuja kukufulia Nguo. Doooh nilisema hii ni neema hasa ukizingatia wanaume wengi ni mtihani suala la kufua nguo. Nikaenda kucheki kwanza hizo nguo chafu zina hali gani. Dooooo hizo nguo zilikuwa ni...
  17. Hazchem plate

    Kuitwa kwenye Usaili: Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)

    Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 6, 8, 9, na 10 Aprili, 2019 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye...
  18. Hazchem plate

    Zifahamu Shule ambazo zinatumia Mitaala ya nje hapa Tanzania

    Hizi ndizo shule Tanzania ambazo zinafundisha kwa kutumia mitaala ya Nje ya nchi. Kwa kifupi hizi ndizo International Schools. Hizo nyingine zote ni ENGLISH MEDIUM SCHOOLS ukiacha hizi Tulizo soma sisi za Elimu Bure Siyakudumisa Nkosi Yezulu
  19. Hazchem plate

    Kwanini simu za Samsung ( Flagships) hazina FM Radio??

    Sielewagi kwann hawa jamaa huwa hawaweki Radio kwenye simu zao hasa S series na NOTE series ukiacha zile za nyuma sana na hizi S10 na S10 × Ambazo zina radio Hence Radio yake huku kwetu inweza leta interfearence na watumiaji wengine wa Masafa maana hawapo kwenye Band range ya FM ya nchini kwetu...
  20. Hazchem plate

    Mwanamke akisha niambiaga hivi, Ndo basi tena

    Naanza kwa kucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Good morning Bazalwane Huwa nafurahi sana pale ninapopiga story na Mchuchu ambaye sio Demu wangu actually, Mida ya kuagana utasikia anasema " MSALIMIE WIFIIII" Hii kauli wanaume wengi huwa...
Back
Top Bottom