Search results

  1. Nalendwa

    Katika Kutongoza, tuambiane tu ukweli kaka zangu. Bila chuki wala nini mna fail sana

    Sawa bae, let me get to work. On it that is..:D
  2. Nalendwa

    Alama hizi za bra zinatokaje?

    Hahaha!, Jamani! :D
  3. Nalendwa

    Alama hizi za bra zinatokaje?

    Don Clericuzio comment yangu hapo juu..
  4. Nalendwa

    Alama hizi za bra zinatokaje?

    Chenye kusaidia zaidi ni kupunguza kuvaa. Ukiwa ndani ukaweka kanga, ukiifunga shingoni na kuibana chini, it will hold the girls to some extent. Ama tumia top ya swimming costume ukiwa ndani cos strings zake nyembamba.
  5. Nalendwa

    Alama hizi za bra zinatokaje?

    Na ndio nilichoshangaa, nikapitia kwanza comments nione wadada wengine wanasemaje na kupata experience yao, nakutana na comments kibao za Men wanakwambia uvae vest..😁😁😂😂😂
  6. Nalendwa

    Alama hizi za bra zinatokaje?

    manengelo huu Uzi sasa.. Pamoja na kujifunza jamani nimecheka comments za vidume...LOL! Huo ushauri wao sasa mie hoi! 😁😂😂
  7. Nalendwa

    Unadhani Ujumbe huu wa 'Twitter’ wa Rais Museveni atakuwa anamlenga nani au nchi gani hapa duniani?

    Nimekuelewa vizuri B. It's deep. Especially hapo kwa Tanzania.
  8. Nalendwa

    Kwanini sitaki kupata mtoto

    Hey Girl! Missed you too!
  9. Nalendwa

    Ruge Mutahaba: The Man, The Myth, The Legend

    Sorry for your dreams to be cut short. It'll be great to create a couple of things including your ideas, in remembrance of this son of Tanzania.
  10. Nalendwa

    Ruge Mutahaba: The Man, The Myth, The Legend

    🙌🙌🙌 RIP Boss RG. Anonymous..feels like you read my mind. He was an Intellectual Powerhouse, an Influential Figure, and Brains behind enormous Tanzanian Talents. But, as you said, camouflaged. Both in appeal and Intention. His light shone, after he's gone.. I was just wondering if someone is...
  11. Nalendwa

    Paul Makonda amfagilia Tido Mhando,asema haiwezekani Serikali ikawa inamuangalia tu akiifaidisha Azam TV, lazima Serikali imchukue

    Yaani kuna watu wabunifu balaa! Hahah!, wakina Kamwene walikuwepo pia! 😁... ...Not yet.
  12. Nalendwa

    Paul Makonda amfagilia Tido Mhando,asema haiwezekani Serikali ikawa inamuangalia tu akiifaidisha Azam TV, lazima Serikali imchukue

    Kazi anayo RC kwa kweli. He's trying too hard I think. Eti Ostrich! :D Hahah!, yani kuwa celebrity kunahitaji extra courage kwa kweli. Umenikumbusha Oscars za juzi pia. Kuna mtu ali introduce Taxedo gown and he almost shut down the red carpet...lol! Ruby Ile outfit am sure alijua watu watasema...
  13. Nalendwa

    Putin: "I'm Ready for another Cuban-Missile Style Crisis"

    More Sanctions on Maduro.. "..Trump administration freeze the assets of Venezuela’s state oil giant PDVSA — a move meant to further cut Maduro’s international cash flow.. ..Venezuelan opposition leader Juan Guaidó has sought assurances that the United States could use force if necessary, but...
  14. Nalendwa

    Hatimaye R.Kelly Atiwa Mbaroni

    R. Kelly Karma inamtafuna sasa. Hakuweza kuweka Bond wakati katengeneza records worth over $200 Mil.
  15. Nalendwa

    Paul Makonda amfagilia Tido Mhando,asema haiwezekani Serikali ikawa inamuangalia tu akiifaidisha Azam TV, lazima Serikali imchukue

    Umeona mbali Bae, kama kawaida yako.. Kumbe ni kiki tu, halafu kaenda kuitafuta kwenye Show yao wenyewe Azam.. Aiseh Ruby alitisha, sio kwa performance Ile! Akijitahidi na ile keynote akafanya tizi la kutosha, anaweza kuwa Mariah Carey wetu.. Ila kile kivazi chake B., nimekipenda lakini only...
Back
Top Bottom