Search results

  1. H

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Safari hii ni ya wote lkn pia ni kukimbushwa ya kuwa iko siku inakuja ambayo hauijui diku wala saa ,tunak7mbushwa kujiandaa na kulekebisha njia au matendo yetu,tangulia mpendwa nasi tu njiani RIP
  2. H

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    Wala haiwapi shida cdm na wale wenye uelewa mpana lkn kwa wale ambao ni mkumbo wenye ushabiki wasiojua kutambua jambo kama ww radhma mtahangaika sana juu ya mpango mkubwa unaofanywa na serikali namna ya kutaka kukidhalilisha chama lkn sizani kama itakuwa kwakuwa watu wanajua mpango huo cuf...
  3. H

    2020 Uchaguzi utakua si wa vyama kwa vyama bali ni wananchi na serikali ya CCM

    Wala c swala la kumung'unya iko wazi na hata hivyo c cdm bali ukawa walishinda ndilo jibu.
  4. H

    2020 Uchaguzi utakua si wa vyama kwa vyama bali ni wananchi na serikali ya CCM

    Hilo liko wazi wala c vijana wa mtandaoni bali kinachosemwa kipo wazi,ni wachache sana wanaofurahi na kipindi hiki fanya uchunguzi utaona ,lbd kwa kuradhmishwa.
  5. H

    Siri za Malasusa kumega kanisa zavuja

    Siku zikifika ataondoka na kisingizio cha kumuunga mkono magufuri wala hakina maana ila ni kutafuta kujilinda siku wenye kanisa wakiamua atoke apate ulinzi ws mabavu toka kwa magufuri
  6. H

    Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Si ajabu na ww ni kati ya waliopungukiwa na uwezo wa kufikiri nn maana ya kaisari mpe kaisari na ya MINGU mpe MUNGU vyote hivyo alivitambua kristo yesu lkn pia kila serikali iliyopo MUNGU anaitambua na ndo maana kina nebukardineza aliwapiga baada ya kwenda kinyume na mapenzi yake lkn ni serikali...
  7. H

    Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Msimshangae pengo uwezo wake wa kufikiri kwa sasa ni wa mashaka kwanza kiafya lkn pia sasa na umri wa kutoka ukubwa kurudi utoto tayari c umeshamfika na kwa ss hata kumchagua papa uwezo huo ameondolewa kwakuwa maamuzi atakayoyafanya c ya timamu hivyo msishangae,waraka ule alitia saini leo...
  8. H

    Kilichomponza mdogo wa Askofu Pengo hadi mauti

    Ndugu zake ni wote wanaomuamini kristo so hata kuna mmoja alifiwa na dada yake lkn hakwenda
  9. H

    Inauma sana: Mke wa jirani yangu anachepuka

    Maisha ndivyo yalivyo[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]?
  10. H

    Kiingereza cha kwenye hukumu ya mbunge Sugu na masahihisho yake

    Kama hajui na ww kosoa sio kupanua domo lako kubwa kama bata.
  11. H

    Ya Ethiopia ni somo tosha kwetu

    Uelewa ni kitu kizuri sana, na ni muhimu ssna kijua nini wananchi wsko waliowengi wanataka, usifikri bila kufikria.
  12. H

    Wakili msomi Peter Kibatala: Wasifu (CV) wake na historia yake katika kuendesha kesi

    Na ww utajuaje kama ameshinda kulingana na ww kuwa muathilika wa dawa za kulevya. Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  13. H

    Wakili msomi Peter Kibatala: Wasifu (CV) wake na historia yake katika kuendesha kesi

    Hivi unajua hata mwehu hujiona yu na akili kuliko wenye timamu ndo ww sasa,ni zuzu lakini unazani upo sawa. Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  14. H

    Lusinde: Lowassa ujana Kala CCM leo hana nguvu anashikiliwa atembee ndo anajiita Kamanda

    Nini maana ya kamanda au unafikiri kupitia ma..ko Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  15. H

    Lusinde: Lowassa ujana Kala CCM leo hana nguvu anashikiliwa atembee ndo anajiita Kamanda

    Lusinde mtu makini kwa maigizo na taarabu na dhani kwa hapo ni sawa Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  16. H

    Hivi bado upingwaji wa jitihada za Rais unaendelea?

    Kapime akili ndo uje Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  17. H

    Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Ww yawezekana ni mwendawazm alilie uwaziri kuna raha ipi kwa sasa kwa hao mawaziri?au unakrupuka tu kama kondoo. Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  18. H

    NEC wagoma kuwaapisha mawakala wa CHADEMA, hii ndio Tanzania

    Wapumbavu wale wasipokujibu utafanya nn?kikubwa pale ni kimyakimya ili wajifunze kitu nchi hii c yawana ccm tu bali ni yetu sote kwa hivyo mtu akikudharau basi tafuta namna ili ajue na ww c wa mchezo v wakati wakuuliza sasa.
  19. H

    NEC wagoma kuwaapisha mawakala wa CHADEMA, hii ndio Tanzania

    Wala usichukie mkuu huo ndo ukweli kwa ss hakuna sababu ya kulia lia kama mbwai na iwebwai kama wangekuwa wanakaa anga ingine hapo sawa lkn mko nao?sizani kama ni muda wa kukaa kimya sasa.
Back
Top Bottom