Search results

  1. mansolata

    Rafiki yangu wa kike kila anapolala huhisi kuwa anapigana na nguvu fulani na pia ananyongwa akiwa usingizini

    Itakua ni hila za wapinzani kupinga juhudi za serikali yetu... Chamsingi akachukue kadi....alalapo ajifunike kwa shuka ya chakijani.....rangi ya chumba iwe ya kijani na njano Achore picha ya jiwe mlangoni Ataona matokeo NB: tiba kuu ni imani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mansolata

    Wahariri epukeni upotoshaji na ushabiki kesi za mahakamani

    We inakuuma nini Serikali kugaragazwa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mansolata

    Jinsi wanafunzi wa 43 walivyopotea.............

    Uroho wa madaraka,,,,,,,,,,, Wizi,,,,,,,,,,,,,,, Tamaa mbele,,,,,,,, Hawakutaki kwa nini ung'ang'ane,,,, ,,,,,,, Jiwe na wenzako muandae majibu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mansolata

    Wa Tz tutafika kweli 2019??

    Hausomeki Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mansolata

    Mnajificha katika hoja ya ushoga ehh? jibuni nondo hizo

    Kamanda tuambie...Lisu Mlimpiga risasi ngapi... Wawaviumbe wanaopotea mnawahifadhi wapi.... Bei ya sukari itashuka lini? Nini hatima ya Sh. yetu katika dola... Noah tunakabidhiana lini... Viwounder vinajengwa nchi gani... Akwilina aliwa wakosea nini....
  6. mansolata

    Maskini Musiba, kibarua kimeota Nyasi

    Nilitamani itokee ......but taarifa si yakweli
  7. mansolata

    Fikra mpevuko.............

    Mw/kiti .Ungewaacha huru hawa wapinzani.....kwa ugumu huu wa maisha....Wallah....chama kingekufia....mshukuru aliekupa wazo.... Mtu akikosa soko la vitunguu anakutaja ww eti ndo chanzo... Sikuizi hata kwa buku tunapata huduma tena kwa watoto wabichiiii..... Endelea kukaza Mw/kiti...hadi...
  8. mansolata

    Kada CCM Dr. Muzzamili Kalokola ajitosa urais 2020, adai Magufuli kakiuka utaratibu

    Nawewe nawe achaga basi tangaza nia ww timamu.....ila binadam na kichaa chake
  9. mansolata

    Kada CCM Dr. Muzzamili Kalokola ajitosa urais 2020, adai Magufuli kakiuka utaratibu

    Safi sana huu mtindo wa kuachiana sio .....babu usiogope utapita tu.....
  10. mansolata

    Taifa limegawanyika na nashauri yafuatayo; Zingatieni haya

    Dadadeki ....mbona umeajiriwa na ccm ....acha huo ukamanda uone moto wake..... Njoo kitaani uone.... Nenda Mtwara ukaone msimu wa korosho ulivyo mwaka huu...
Back
Top Bottom