Search results

  1. Mwasango

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    eeehh eeehh.. Daa nawapendaga lakn nawaiswasi ni pm nitafikiria
  2. Mwasango

    Natafuta mwanaume baadae awe mume wangu

    Haa haa haa haa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wee nomaaa
  3. Mwasango

    Natafuta mwanaume baadae awe mume wangu

    Kazi IPO sasa si tunafunga tu ya Boman dini Mungu ni mmoja tu. Nipo tayari kama utanitafuta
  4. Mwasango

    Mdogo wangu anahitaji mpenzi

    Mungu kanionyesha kama yupo serious njoo PM .
  5. Mwasango

    Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

    Mhhh aise pole ungempa ata nusu.. Sasa cha msingi mwambie akupe ata nusu nusu. Mzee ndo uje kula iyoo papuchu usikose vyote..
  6. Mwasango

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Habari ndugu zangu sina utaalamu sana Katika sekita hii kama umewahi kufanya au ni mtaaluma wa mashine hizi niambie kimsingi naitaji kuanzisha machine ya kusaga mahindi.. Na kukoboa. Tafadhali kama ni mtaaluma wa haya niambie chochote. Na kiwango kidogo cha mtaji na kikubwa.
  7. Mwasango

    Serikali inastahili pongezi kwa maboresho huduma za afya na madawa, case study Muhimbili NH

    Kaka huku na mtumbo tunapajua sisi.... Hali ni mbaya sana hapo ni urban.. Kubali tuu..na population ni kubwa mnoo DAWA za kwenda kununua zote
  8. Mwasango

    Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

    Matendo yamebaki Kitandani tu.
  9. Mwasango

    Serikali inastahili pongezi kwa maboresho huduma za afya na madawa, case study Muhimbili NH

    Unachokisema hiki ni theory ambayo kila MTU anaweza kusema matendo hayapo hapo.. Ni ndoto tu.
  10. Mwasango

    Serikali inastahili pongezi kwa maboresho huduma za afya na madawa, case study Muhimbili NH

    ndoto nyingi tamuu huotwa karibia na asubuhi ukiamka uratuadisia tena
  11. Mwasango

    Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Huu ni uchochezi. Kama Una akili Pana...utaona kesi nyingi zitakazo tungwa ni za kiongozi wa dini na wanasiasa wataanikwa magazetini Kama viwanda vinavyozundiliwa
  12. Mwasango

    Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Wao wenyewe hawajui watumie IPI wanasubiri utafute uwiano wakushike
  13. Mwasango

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    1. Kuwafuta watu elfu 12. Ajira 2.kufuta ajira za waalimu toka mwaka 2015...kuingia kwenye system. 3.ajira za madaktari kuingia kwenye system 4.Kukataza mikutano ya hadhara kwa vyama pinzani. 5.kunyima haki ya kukueleza na kuikosoa serikarli 6.kuvunja katib ya ccm kwa kutowapa haki kutendeka...
  14. Mwasango

    RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

    Kaka kweli Hawa jamaa wana sifa hizo tuu...
  15. Mwasango

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Pole ndugu yangu... Pls ni sms tuangalie.nini naweza kusaidiana pengine Mungu atakuponya.. Sitakuuzia DAWA ntakupa bure. Pure maasai 100% traditional
  16. Mwasango

    Je, maandamano ni haki ya kikatiba?

    Fafanua kwa kina ...kwani yangekuwa na nia ..unayosema wewe Katiba zingefafanua.. Sio yetu tu ata mfano za nchii zingine zingekuwa nayo...
Back
Top Bottom