Search results

  1. E

    Uyoga wa magazeti kuelekea 2015

    mzalendo, inawezekana maanake hata mzee sitta anasema kuna watu kumi tu wanayumbisha nchi hii, hivi karibuni nimefuatilia magazeti ya rostam na lowassa,wao wakibomoa CDM wao ni Mhe Rais Slaa na Mhe Zitto tu,hayo magazeti husana mtanzania wanakwambia mbowe kakomaa kisiasa, chonde chonde hapa...
  2. E

    Uyoga wa magazeti kuelekea 2015

    nchi ziliendelea huwa kuna vijarida kama hivi huwa vinaitwa tabloids, uingereza wana the sun,isitoshe kwamba hata babu alianza loliondo akaja mama mutalemwa halafu mjukuu kule mbeya nazani kuna umuhimu sana wa kuanzisha ushauri nasaa kuhusu magonjwa ya akili na madhara ya kuto kukubali kushindwa
  3. E

    John Guninita blasted CHADEMA, offering Unemployed youths to be registered and trained

    ahahahahhhhaa nikiangalia avatar yako naulichokindika utazania huyo prof hapo ndio ameyasema hayo
  4. E

    Hali yachafuka singida mjini.

    mmmh huku sio kabisa,
  5. E

    dowans imeuzwa!!!!

    popcorn in the microwave, doritos with dip and yes thumb on refresh button:ranger:
  6. E

    NSSF kutatua tatizo la umeme Tanzania

    hivi dau( kijana wa yusuf manji, kimbisa na madabida) bado anapelekwa TRA na mngwana? maanake Kitilya kashaaaga makamishna wenzake kwamba anaondoka kabla ya mwezi wa sita... hatari kabisa
  7. E

    Januari ashangaa wabunge wengine wamefikaje Bungeni?

    mnategemea nini kutoka kwa januari aliyeshikwa mkono kupelekwa ofisini kwa rais mstaafu mkapa na rostam kutambulishwa na kunadiwa kwamba atawafaa hapo MBELENI,kuna habari kemkem kuhusu huyu makamba kutoka marekani kuhusu NYUMANI
  8. E

    Mikakati urais CCM 2015 yashika kasi

    bila lowasa na rostam kutiwa risasi tatu tatu kichwani uraisi wa 2015 utatokana na maamuzi yao hao wawili tu, wadanganyika mnalo hili
  9. E

    Elections 2010 Kumbe yule Bashe Wa Tabora Ndo CEO Wa New Habari???

    shamba la bibi oyee!!! kila corner kuna dudu la aina yake yani bashe huyu ambaye sio rai anakuwa CEO wa rostam( boss of bosses) hivi yuko nchini kwa permit aina gani, msaada katika tuta tafadhali
  10. E

    Kamati za Bunge

    walichaguliwa na kina nani?
  11. E

    Ninachompendea Kikwete Jakaya Khalfani ni hiki...

    huyu jamaa inaonyesha tuko wote jobless corner mie nashukuru jk kwakuturuhusu kuwa na jf na google maanake nilikuwa china juzi kusearch protest tu ishu, bravo mkwere
  12. E

    Maelezo ya mkutano wa Al-Adawi na Ridhwan Kikwete

    unajuwa hata marekani mpaka leo swala la nani aliye muuwa kennedy lina mvuto mkubwa sana, inategemea unalitazamia kutokea wapi usikute aliyeleta hili bandiko akiona kizee mwenye macho mekundu akambariki kuwa ni mshirikina:A S 112:
  13. E

    Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

    hebu nijaribu kubenjua hili dungu na gololi ya kioo,issue ni safari au nani kasafiri, kuna hoja zingine zinaonyesha bado madhara ya chanjo hususan ya ndui bado zinasumbua kadamnasi ya walidanganyika, :hand:
  14. E

    Lowassa anapuliza huku na huku, CHADEMA na CCM?

    huyu lowasa namkubali sana kwa jinsio alivyo weza kutuletea jk na rostam ,akatulete anna makinda,alitupa makamba senior sasa na kwa style ya pekee anatuandalia serukamba na makamba junior kwa ajili ya 2015 na jinsi mitanzania ilivyo najuwa yatakuwa, kwa hilo naomba kumpongeza huyu lowasa
  15. E

    Nani ni waziri wa wizara ya Nishati na Madini, January Makamba au William Ngeleja?

    hii wiraza maya mwisho nilijuwa inamilikiwa na rostam kwa ubia na lowasa lakini kijana wa makamba nazani swala la form za 2015 kuzingatia Godfather anaweza asifike anaona atoke kivyake kama justine beiber vile na swala la youtube
  16. E

    Nini kinachofanya JK asiteuwe RC mpaka leo??

    inawekana mkwere alikuwa ateue lakini list watu wakaichakachua akakuta jina la mama mwangunga, mama batilda mama na brameni masha ,mkwere akapima hali ya hewa ya sasa akaona ailie bati, au pia mambo ya mshiko za kuaminika zinasema hali mbaya hazina sijui kinana akufanya mrejesho kikamilifu au...
  17. E

    Gazeti la Mtanzania kigeugeu

    Bila kupiga hodi na vile ninaingilia kupitia dirishani,na kuja kiuwizi wizi,gazeti la Mtanzania nalitazama kama nyumba ndogo ya sirikali uhuru kuwa ndio nyumba kubwa,Bashe huyu aliyekuwa raia na sie raia ndio CEO? hapa mbona kuna kama mchezo wa luninga kutoka afrika magaribi
Back
Top Bottom